Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huyu kipa mafua sijui why anampenda sana sijui sababu kabila.moja. anyway NYWA ....hope ushindi upo..
 
We Liverpool are more than a joke tbh, beat the leaders and lost to a bottom side the following match... I must to go to Kidderminster harriers on a season loan
 
Let's all take a moment to laugh at Liverpool FC who couldn't even manage to beat bottom of the table Swansea great assist by Van Dijk for the Swansea goal, 75m well spent [HASHTAG]#LiverpooLOL[/HASHTAG]
 
Leo naona Tumeingia na formation ya 4 - 2 - 3 - 1
Kuna comment humu nilikwambia Liver wanawafungaga wakubwa, wale walio chini ya top 6 huwasumbua, ukadai mwaka huu ni tofauti, na ukanihakikishia kwamba The Swans wanafuata kuchinjwa baada ya Mancity.
Leo mmekimbia jukwaa lenu.
 
Hata hivyo liver wana mkosi na swansea last season aliwachapa 2 hapo hapo kwenu. Timu hii huwaokota liver kila mwaka. It's a time to say no to Swansea.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom