Yan wewe uefa ushakubali tumeshindwa mapema, Mimi naona bado tunahitaji kiungo mshambuliaji, mwenye uwezo mkubwa wa kucheza no 10 na kutokea pembeni na awe na uwezo wa kupiga mashuti nje ya box, kupiga faulo ni sifa ya ziada na asiwe amecheza uefa mwaka huu ili tuweze kumtumia. Epl maji yashazidi unga ila uefa hatutakiwi kukata tamaaSioni sababu Ya kusajili mchezaji yoyote hii January labda apatikane kipa mzuri tu au Keita
Kwa kikosi hiki wakiendelea Na hii momentum top 4 is very achievable
Tuombe tu ustaadh Salah au Mane wasiumie
Salah anarudi Egypt kusubiri world cup by AprilSioni sababu Ya kusajili mchezaji yoyote hii January labda apatikane kipa mzuri tu au Keita
Kwa kikosi hiki wakiendelea Na hii momentum top 4 is very achievable
Tuombe tu ustaadh Salah au Mane wasiumie
Yan wewe uefa ushakubali tumeshindwa mapema, Mimi naona bado tunahitaji kiungo mshambuliaji, mwenye uwezo mkubwa wa kucheza no 10 na kutokea pembeni na awe na uwezo wa kupiga mashuti nje ya box, kupiga faulo ni sifa ya ziada na asiwe amecheza uefa mwaka huu ili tuweze kumtumia. Epl maji yashazidi unga ila uefa hatutakiwi kukata tamaa
wapo vizuri na yule straika wao Abubakar ana mishe si za kitoto pale mbele...
Liverpool haijawahi kuwa na kocha na sasa ndiyo ina kocha!
Nina uhakika trophies zitaanza kuja Liverpool
Kataka yeye mwenyewe kuondoka so kufanya kazi na mtu ambae hayuko radhi na Kaz hiyo ni ujinga mjombaUkishabikia liverpool lazima uumie tu
Tim inamatatizo kibao na bado wanamuuza mchezaji wao wa maana bila kununua replacement
Wamarekani wanachofikiria ni faida tu
Nyie bora muache kuishabikia hii tim
Danny Murphy: Keita isn't the man to replace
Coutinho.. And Firmino isn't a 20-
goal striker
Lakini kazungumza ukweli.It doesn't matter about his feelings!!Danny Murphy ana Bifu la Miaka Mingi na Liverpool hasa pale ilipotokea Rafa Benitez alipotake over from Houllier instead of Alan Curbishley ambaye alimtaka yeye. Also still bitter over being turned down as coach by Rodgers in favour of Gary Mac.
Na vilevile He’s still upset because Rafa got rid of him.
Kwahiyo atapiga Majungu sana tu.
Hamna cha ukweli ni unafiki mtupu.Lakini kazungumza ukweli.It doesn't matter about his feelings!!
Naby Keita ni kumreplace coutinho?When was the last time Firmino scored 20+ goals in a single season?Ukitaka uwe Serious title contender na sio Top four ni lazima uwe na 20+ goal striker ilo ukubali ukatae ni fact sasa jamaa kazungumza ivii tunaanza kukumbushia mambo ya kina benitez tenaHamna cha ukweli ni unafiki mtupu.
Naby Keita ni kumreplace coutinho?When was the last time Firmino scored 20+ goals in a single season?Ukitaka uwe Serious title contender na sio Top four ni lazima uwe na 20+ goal striker ilo ukubali ukatae ni fact sasa jamaa kazungumza ivii tunaanza kukumbushia mambo ya kina benitez tena