Lema simkubali
Sio wa kuziba pengo la Coutinho
Lema hana pasi za kushtukiza na hana dribbling ya amaana kama ya aCoutinho
Coutinho alikuwa mkali yangu zamanCoutihno wkt anatoka Inter alikuwa anakera sana!Coutihno alikuwa anapelekwa kwa mkopo team ndogo ndogo kama vile Espanyol
Kaja Liverpool katengenezwa sasa kawa nchezaji bora,Lemar ana potential zaidi ya Coutihno na atatisha sana ndani ya miaka miwili
He is too young,kama akija tumelamba dume!
Coutinho alikuwa mkali yangu zaman
Inabid watafte mtu mwenye miguu mwepesi
Alikuwa youngIlikuaje basi Inter hakuwa hata anabaki kuwa squad player?
Liverpool wanaifuata Inter walikuwa tayari wapo kwenye mazungumzo ya mkopo na Espanyol
Lema simkubali
Sio wa kuziba pengo la Coutinho
Lema hana pasi za kushtukiza na hana dribbling ya amaana kama ya aCoutinho
Huwez mlinganisha coutinho na LemarMkuu Kumbuka Kuwa Coutinho alipitia Umri Kama Alionao Thomas Leamr sasahivi! Lakini Kipiji alichonacho Lemar Sasahivi Coutinho Katika Umri Huo Hakuwa Na Kipaji Hicho!
Kwahiyo Lemar iwapo Hataflop Basi Kipaji Chake Hapo Baadae Kinaweza Kuwa Zaidi Ya Coutinho.
Kumbuka Kuwa Kabla Ya Kuwa Jürgen Klopp Coutinho alikuwa Ni average Player tu tena Wa Kawaida Sana! Lakini Klopp Kamdevelop Kuwa World Class! Kwanini Lemar Naye asiwe World Class.
Kama AlivyokuQuote Mkuu Malafyale Hapo Juu Ni Kuwa Coutinho Alikuwa akiishia Kutolewa Kwa Mkopo tu Ni Liverpool Ndiyo iliyotengeneza Kipaji Chake.
Na Kama utafatilia Vizuri Coutinho Mpaka Anakuja Liverpool na Mpaka Kuna Klopp alikuwa Ni Winga (Tena ya Kushoto) na Wala Hakuwahi Kuwa na Kipaji Cha Central Midfielder! Lakini Klopp Kambadilisha na Sasa Ni Central Midfielder ya Kufa Mtu...
Ni Sawa na Thomas Lemar! Kusema la ukweli nayeye Ni Winga (Natural Yake)! Lakini Klopp Anataka Ambadilishe Kana Central Midfielder Kwa Formation Ya 4-3-3 ambayo Winga Wa Kulia (Salah) Anapanda Juu kutengeneza SALAH-BOBBY-MANE.
Na Winga Ya Kushoto (Lemar) Anashuka Katikati Anatengeneza KEITA - GINI/HENDO - LEMAR.
Kwahiyo Usihofu Lemar Ni Very Talented
Coutinho nilikuwa namkubali tangu zaman2Mkuu Kumbuka Kuwa Coutinho alipitia Umri Kama Alionao Thomas Leamr sasahivi! Lakini Kipiji alichonacho Lemar Sasahivi Coutinho Katika Umri Huo Hakuwa Na Kipaji Hicho!
Kwahiyo Lemar iwapo Hataflop Basi Kipaji Chake Hapo Baadae Kinaweza Kuwa Zaidi Ya Coutinho.
Kumbuka Kuwa Kabla Ya Kuwa Jürgen Klopp Coutinho alikuwa Ni average Player tu tena Wa Kawaida Sana! Lakini Klopp Kamdevelop Kuwa World Class! Kwanini Lemar Naye asiwe World Class.
Kama AlivyokuQuote Mkuu Malafyale Hapo Juu Ni Kuwa Coutinho Alikuwa akiishia Kutolewa Kwa Mkopo tu Ni Liverpool Ndiyo iliyotengeneza Kipaji Chake.
Na Kama utafatilia Vizuri Coutinho Mpaka Anakuja Liverpool na Mpaka Kuna Klopp alikuwa Ni Winga (Tena ya Kushoto) na Wala Hakuwahi Kuwa na Kipaji Cha Central Midfielder! Lakini Klopp Kambadilisha na Sasa Ni Central Midfielder ya Kufa Mtu...
Ni Sawa na Thomas Lemar! Kusema la ukweli nayeye Ni Winga (Natural Yake)! Lakini Klopp Anataka Ambadilishe Kana Central Midfielder Kwa Formation Ya 4-3-3 ambayo Winga Wa Kulia (Salah) Anapanda Juu kutengeneza SALAH-BOBBY-MANE.
Na Winga Ya Kushoto (Lemar) Anashuka Katikati Anatengeneza KEITA - GINI/HENDO - LEMAR.
Kwahiyo Usihofu Lemar Ni Very Talented
Huwez mlinganisha coutinho na Lemar
Na si kila mchezaji anakuwa na kiwango chake(najua unajua)
Aina ya mpira wa coutinho na lemar ni tofaut kabisa
Inatakiwa watafte mchezaj mwepesimwepesi na sio lemar
Kwang mimi lalana akiwa onform ni bora kuliko lemar japo lemar mdogo2

Coutinho nilikuwa namkubali tangu zaman2
Nimeanza hadi kumuonea huruma utadhani ni mdogo wangu wa damuGrujic apelekwe sehemu kwa mkopo acheze.Ni kipaji kinachoozea benchi.Atakujq kuwa kama Coutinho badae kama akienda sehemu kucheza kwasababu kwa sasa hana nafasi kabisa kuingia kikosini.
Mi namuona mzuri kuliko Lemar.Aende sehemu akapate playing time kisha arudi