SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Yani wewe acha tu, sijui ni dharau ama nini. Mechi ya kwanza anfield tulishindwa kuwafunga na tukiwa na full kikosi leo sijui itakuwaje
Lalana mwenyewe katoka mechi majeruhi halafu anakuja kumpambanisha na hawa jamaa wanaojua kukamia mechiBurnley mwaka huu wabishi mnoo na nashangaa huyu Solanke anaanza
Well said bro. Ngoja tusubiri kitakachotokeaHata Tuchukie Kiukweli Hatuwezi badilisha Kitu (Nothing we can do)! Kilichobakia Tusupport tu Timu Yetu Kupata Ushindi Mechi ya Leo!
Natumai Tunaweza Kushinda leo...!
You'll Never Walk Alone
Solanke yupo vizuri sana sema wengi tunapenda tuone anafunga ila his presence as a no. 9 it drags back opponent defender tofauti anapokuwa firminoBurnley mwaka huu wabishi mnoo na nashangaa huyu Solanke anaanza
Tuache kuishi kwa mazoea. Hii mimi nadhani ni game plan. Huwezi kujua kina lalana na solanke kuna vitu wataleta.Yani Sisi Tupo Serious na Ligi Yeye Jürgen Rotation anatuletea Rotation za Kipumbavu!!!! [emoji35] [emoji35][emoji35][emoji35]
• Mo Salah nje (injury)
• Coutinho nje (injury)
• Firmino nje
• Robertson
• Matip Nje
Huyu Mzee Wa Rotation anachezea hisia zetu Sijui anatutafuta Nini?
By the Way Nina imani na Ushindi licha ya Kuwa Ni Kikosi dhaifu.
[HASHTAG]#YNWA[/HASHTAG]
Tuache kuishi kwa mazoea. Hii mimi nadhani ni game plan. Huwezi kujua kina lalana na solanke kuna vitu wataleta.
Solanke yupo vizuri sana sema wengi tunapenda tuone anafunga ila his presence as a no. 9 it drags back opponent defender tofauti anapokuwa firmino
Tuache kuishi kwa mazoea. Hii mimi nadhani ni game plan. Huwezi kujua kina lalana na solanke kuna vitu wataleta.
Yani Katika Siku Niliyoweka Bando na Likawaste in Vain basi leo!
Fvck! Nimeweka bando Kuangalia Game Ya Liver hatimae Nakutana Na Chandimu!!!!
Huyu Solanke na Yeye kazidi Ubishoo! Unaeka Juu Sturidge unaanzisha Solanke??
Kweli mkuu moja kati ya parformance mbovu kabisa i never seen liverpool wakicheza. Zile back pass zimerudi tena. Mabeck kuna uzembe wamefanya tushukuru Barnley hawakuwa makini.Na Wewe kama ingelikuwa sasahivi unaangalia mpira ungelikwisha futa huu utumbo