KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,820
We ndo kama hujui kaa kimyaKama Hujui Mpira basi Jifunze Kusoma Kwa Ufahamu kile nilichoandika!
Umeshindwa vyote viwili Ni Jambo la busara iwapo utakaa kimya!
[HASHTAG]#YNWA[/HASHTAG]
"Usiku mwema Kop"
Mkuu unanishushia heshima bhana. Sasa mi na huyo babu wapi na wapi.?Haya mwambie Wenger aendelee kufanya kazi
Mbona wakimbia timu yako endelea na uwalaza wakoMkuu unanishushia heshima bhana. Sasa mi na huyo babu wapi na wapi.?
Mshauriane wenyewe wenyewe hapo mjue mnaondoka vip na umasikini wenu
Lkn ndo hamjawai pakata Uefa, ko nyie bado sana.Mbu,
Unajua sisi wapenzi wa Bwawa la Maini sio 'viredio' kama wapenzi wa timu chovu maarufu tatu. Kwa hiyo tupo na tunaserebuka na kujiandaa na ubingwa hapo May.
Duh, umetokea pori gani?! Pole sana!Lkn ndo hamjawai pakata Uefa, ko nyie bado sana.
Tetesi
BARCA & LIVERPOOL ZAAFIKIANA KWA COUTINHO
Philippe Coutinho anaelekea kuwa mchezaji ghali zaidi kuuzwa Ligi Kuu Uingereza katika historia akitarajiwa kutua Barcelona kwa kitita cha Β£125 milioni, kwa mujibu wa Express .
Mbrazili huyo alikuwa shabaha ya Barca miezi mingi, lakini Blaugrana walishindwa kufikia makubaliano na Liverpool majira ya joto.
Kampuni ya kutengeneza vifaa vya michezo ya Nike imevujisha kuwa huenda usajili wa nyota wa Liverpool na Brazil Phillipe Coutinho kwenda Barcelona umekamilika tayari.
Nike kupitia tovuti yao jana waliweka picha ya jezi ya Barcelona ya msimu huu yenye jina la Coutinho, huku wakiambatanisha na ujumbe unaoonyesha kuwa nyota huyo anatua Cam Nou kabla ya msimu kumalizika.
Philippe Coutinho yuko tayari kuipamba Camp Nou'', Waliandika Nike ujumbe huo kwenye picha ya jezi za FC Barcelona za msimu huu 2017-18 iliyoandikwa jina la Coutinho.
Baadae Nike walifuta ujumbe huo baada ya mashabiki wa Liverpool kuanza kuishambulia kampuni hiyo kuwa inashinikiza mchezaji wao ahamie Barcelona kwa kuwa Nike wanaidhamini klabu hiyo ya Hispania.
Coutinho mwenye umri wa miaka 25 amefunga mabao saba na kutoa msaada wa mabao sita kwenye Ligi Kuu soka nchini Englanda msimu huu.