Hapana sidhani kama coutinho kashauzwa, bali mwanzo wa window iliopita klopp alipewa £200 nafikiri ndio kaimalizia kwa VVD, kama Lemar akija hapo ndio Coutinho atasepa maana pesa ya lemar ni ndefuKwa Uzoefu Wangu Ninavyowajua FSG Wasingelitoa Pesa Hiyo (£75m) Hata Siku Moja isipokuwa Ni Wazi Kuwa Washamuuza Coutinho bado Kutiliana Saini na Kuannounce tu....
FSG Hawawezi Kutoa Hela Nyingi Kama Hizo Bali Wametega Hela za Coutinho Kuilipa Soton.
Sina Shaka VVD in, Coutinho out.
Aisee sasa huyo ni wa nini?
Dah mimi namuhitaji kipa kwanza
Ila inaniuma sana kumuona Coutinho akiondoka LiverpoolMkuu imefika Pahala Lazima tuukubali Ukweli tu Hata kama haupendezi!!
Ni ukweli usiofichika Kuwa Coutinho Next season hatoichezea Liverpool..!!!
Sasa Klopp analazimika Kutafuta replacement Yake Kabla Hajaondoka! Na Ndiyomana Miongoni mwa Wachezaji Anaowataka Yumo Huyo Draxler na Lemar ili mmojawapo amsajili...
Kumbuka Kuwa Replacement Ya Mascherano Ni Lucas, Replacement ya Lucas Ni Can, Replacement ya Can Ni Keita.
Lakini Replacement Ya Alonso alikusudiwa Aquilani lakini Hakufiti, Kwahiyo tulikaa Muda Mrefu Bila ya Replacement Mpaka tukawa tunashikiwa na Gerrard, Sasahivi Banetushikia Ni Coutinho!! Je, Akiondoka Coutinho atatushikia nani????
Hapa ndiyo Panapo Umuhimu au Ulazima Wa Kusainiwa Lemar au Draxler na Mfano Wao.
Na hii Ni Kutokana Na Klopp Bado Hajamuani Gini Kama Ni Playmaker Wa First Choice (though yupo sahihi) Bali Ni average player.
Aende tu pengine kule atafanya maajabu zaidi..Tetesi
Southampton inataka kumsajili mshambuliaji wa Liverpool na Uingereza Daniel Sturridge, 28, kwa mkopo hadi mwisho wa msimu huu. (Telegraph)
Klabu hiyo pia inataka kutumia fedha zake ilizopata baada ya kumuuza beki wa Uholanzi Virgil van Dijk's ili kumrudisha mshambuliji wa Arsenal Theo Walcott. (Mirror)
Hiz fedha sio za kuacha...Tetesi
Wolfsburg inataka kumsajili kwa mkataba wa kudumu mshambuliaji wa Liverpool Divock Origi. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 alijiunga na klabu hiyo ya Bundesliga kwa mkopo mwezi August. (ESPN)
sijaelewa ni kwanini countihno anakuwa mkaidi kwa ushaur anao pewa na baadhi ya magwiji wa soccer kwa mabaya walio tendewa barca....anyway mtt akililia wembe...mpe panga..thn subiria mrejesho kutoka kwake..MANENO YA RONALDO DE LEMA KWA FELIPE COUTINHO
Liverpool's Philippe Coutinho warned that Barcelona 'treat Brazilians badly'
Ronaldo has warned Liverpool’s Philippe Coutinho that Barcelona “treat Brazilians badly”.
“Barcelona has always had issues with Brazilian players: Neymar, Romario, Ronaldinho and me.
“We were all treated badly by the club in the end, despite all our contributions and dedication.”
The legendary striker spent just one season at the Camp Nou in the mid-90s before moving on to Inter in Italy. He later enjoyed a much happier spell at Barca’s arch rivals Real Madrid.
“I felt much more happy and more connected to Real Madrid, despite having lived a great year in Barcelona,” Ronaldo told Esporte Interativo.
“In the end, my history with Barca was very bad, similar to the one Neymar had.
Hiyo ni tru tayari wana uhakika wa not less than £120 from barca. Pia wanajua watamuoffload sturidge ambaye anakula 150,000/ kwa wiki na hawatokosa hata £15 mpk £20.Kwa Uzoefu Wangu Ninavyowajua FSG Wasingelitoa Pesa Hiyo (£75m) Hata Siku Moja isipokuwa Ni Wazi Kuwa Washamuuza Coutinho bado Kutiliana Saini na Kuannounce tu....
FSG Hawawezi Kutoa Hela Nyingi Kama Hizo Bali Wametega Hela za Coutinho Kuilipa Soton.
Sina Shaka VVD in, Coutinho out.
Hiyo ni tru tayari wana uhakika wa not less than £120 from barca. Pia wanajua watamuoffload sturidge ambaye anakula 150,000/ kwa wiki na hawatokosa hata £15 mpk £20.
Can ataishia bure...
Moreno atauzwa hapo watapata hata £20
So wanauhakika wa mpunga come to July