Baada ya kila mara kuwa wabaruhusu magoli..mbele wapo vizuri..now wana imarisha safu ya ulinzi...VVD tayari Mpaka Jezi ameshakabidhiwa.....
Wamebanaweeeee mwisho wameachiaaaaaaaa!
Liverpool agree deal to sign Virgil van Dijk
View attachment 660990
Number 4VVD tayari Mpaka Jezi ameshakabidhiwa.....
Wamebanaweeeee mwisho wameachiaaaaaaaa!
Liverpool agree deal to sign Virgil van Dijk
View attachment 660990
late xmas present dude...Deal done...
wanakuja 14/1/18 ndani ya Anfield...bado kiungo mkabaji na namba tisa wa ukweli na timu itakua imekamilika...golkipa mwezi wa sita anahitajikaKweli Mungu mkubwa...Mleten hyo Man city sasa...
kwani hajacheza Uefa na lazio?Ningependa sana Stefan De Vrij ndio aje badala Ya Huyu Van D
Ningependa sana Stefan De Vrij ndio aje badala Ya Huyu Van D
Rickie Lambert,Adam Lallana,Dejan Lovren,Nathaniel Clyne,Sadio Mane na sasa Virgil Van Dijk aiseeee mmeingia ubia na Soton tangu 2014 sio bure😱
Mkuu klopp anajiandaa kupigania taji msimu ujao. Na ameshamnunua naby keita tayari. Au unataka kiungo gani mkabaji mwingine??Tumesolve Asilimia 60% tu ya Defence Yetu bado Asilimia 40% hatujaipatia Ufumbuzi..... Kwahiyo Tusijeshangaa Kuona Matatizo Ya Ulinzi bado Yanaendelea...
Tutakuja ona VVD hajabadilisha Kitu katika ulinzi ikaashiria Kama Tumeuziwa Mbuzi Kwenye Gunia haliyakua Kumbe Hatujamtimizia Baadhi Ya Nafasi Muhimu!!!
Je, Hizi Nafasi Muhimu na Hizo Asilimia 40% tulizobakisha Ni Zipi??
1) DEFENSIVE MIDFIELDER (Namba 6): Kiukweli kwa Anaefahamu Mpira atanielewa Kwamba Bila Ya Namba Sita (Kiungo Mkabaji) Wa uhakika! Huwezi Kuwa na Madifenders Wazuri Hata Siku moja! Kwahiyo Twaweza Kuja Kumlaumu VVD Kumbe Mbele Yake Pana Mkabaji anaeitwa Henderson....
2) GOALKEEPER: Na hapa Pia Kwa Asilimia ndogo sana anaweza Kuathiri Uwezo Wa VVD kwa kipa Kutokujua Wajibu wake.
Kwahiyo Mimi Sitamfanya VVD responsible kwa Safu Nzima ya Ulinzi Katika Mwezi unaofata Wa January....
Nitamsubiria Summer (Msimu Ujao) akishapata Kiungo Mkabaji.
Mkuu klopp anajiandaa kupigania taji msimu ujao. Na ameshamnunua naby keita tayari. Au unataka kiungo gani mkabaji mwingine??