Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Jana Chelsink, na Gooners wameshinda itakua ajabu Klopp kupanga kikosi cha kutafuta draw tena huku akifahamu Totenloser wamepigwa...
na hawa watoto walisharudisha goli zote nne tulizowafunga msimu uliyopitaMnajilamba midomo leo Scousers!
Angalieni tu goli 3 zisije kurudi!
na hawa watoto walisharudisha goli zote nne tulizowafunga msimu uliyopitaMnajilamba midomo leo Scousers!
Angalieni tu goli 3 zisije kurudi!
Asante kwa mawazo yakoMnajilamba midomo leo Scousers!
Angalieni tu goli 3 zisije kurudi!
Kamueka Juu Mane na Can...
Siangalii Leo Kama Tutashinda au Tutafungwa au Tutatoka Sare... Lakini Ukweli Ni Kwamba Wenzetu Wanachezesha Vikosi Kamili Kutafuta Ushindi wakati sisi Kocha Wetu Yuko Bize na Rotation!!!!! Haki Ya Mungu Kwa Rotation Hii Timu Yetu itafika Kiama Haitokuwa na Consistency...
Naomba Leo Tushinde Hii Mechi.
Gari la mkaa trip moja porini then garageBaada Ya Liverpool Kushinda Mchezo Wa Leo Natabiri Mambo Mawili Yatatokea:
1) Kwanza Wale Wote Wanaopotea Wakati Liverpool inapofanya Vibaya Kwa Ushindi Wa Leo Basi Watajitokeza Kumpongeza Klopp Kwa Shangwe...
2) La pili! Klopp Wakati Kashinda Basi Atafanya Juu Chini Atukere! Kwahiyo Mechi ijayo Natabiri Kuwa Atamueka Benchi Coutinho na Firmino.
Emre can alikua na kadi 5 za njano hivyo Leo alipunzishwa kutumikia adhabuKamueka Juu Mane na Can...