Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Hahaha wher is lallana???
Nimeshangaa asee bado tupo poa kumbe.Naona vijana tunawakosa kosa *****
Mbaya sana hii hakua hata na sababu ya kuwanyima pasi wenzie yani dahMane Kafanya Uroho Wa Kijinga Na Kutupotezea Nafasi Ya Wazi...
ule ni uchoyo wa kiwango cha kimataifa kabisaMane Kafanya Uroho Wa Kijinga Na Kutupotezea Nafasi Ya Wazi...
huyu left back wa Liva Robertson naona ni mzuri kulinganisha na Moreno anayefanya makosa ya kizembe sana..au ni kwa vile Everton wamepaki bus muda wote?
final third yenu haipo vizuri Leo...Solanke hapewi mipira ya kumaliza...anajitahidi so farKumuanzisha Solanke na kutompa hata bench Sturridge is not good
final third yenu haipo vizuri Leo...Solanke hapewi mipira ya kumaliza...anajitahidi so far
nipo Gunners kule...Wewe unashabikia timu gani?