Maneno ya ukakasi kwa JK kwa anti Liverpool hapa yatakoma!Walifikia hatua hata kumfananisha JK na trash BR
Ningekuwa na uwezo JK angekuwa kocha wa milele wa Liverpool,huyu ni Bill Shanky wetu
Aibu yao
Mkuu Wakati Mwengine Punguza Utoto! Si Kwamba Hujui Klopp alivyokuwa Akitufanya Mwanzo Wa Msimu..
Unafikiri Mashabiki Wa Liverpool Tungelinyamaza Na Kumuachia Afanye Anavyotaka Ungeliyaona Haya???
Hizi Ni Pressure Tuliyomfanyia sisi Washabiki Pamoja na Media Ndiyo Zilizomfanya Apunguze Kiburi...
Siku Zote Kimya na Kuunga Mkono Mabaya ndiyo Sumu ya Mafanikio...
Inaonesha Hata Hufutalii Mashabiki na Malegends Wa Liverpool ndani Ya Uengereza Walivyomtia Pressure Klopp!
Kama ungelifahamu usingeliyaandika Haya....
Wewe ndiye Wa Kuona Aibu Kwa Kumuona Klopp Anatuharibia Timu na Ukashindwa Kusema...
Wewe si Wa Kufurahi Leo..
Wakufurahi Ni sisi Kwa Sababu Klopp anatupa Tunachokitaka...
Wewe Muda Wako Wa Kufurahi umeahapita Kwasababu ulikuwa Ukifurahia Vidraw na Kutandikwa Wakati sisi tulichukia...
Sasa Tufurahi sisi Timu inashinda, wewe unune kwanini Timu haifungwi na Haitoi Draw ulizokuwa ukimpongezwa Klopp...