Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Unataka kusema milner nafac ya first eleven hakuna??ipo sema tu huyu captain uchwara hendo ilibid akae sub babu milner aanze
Inabidi Arsenal na Man Utd watoke draw itakuwa fresh kwa upande wetu
View attachment 643804
kazi ya kuziba pengo la points 14 ili tuwe champions is an insurmountable kwa kasi aliyo nayo Man City sasa.
we (LFC) are champions - lakini Klopp's arrogance (pamoja na ubora alio nao) inatuchelewesha kufikia huko.
lazima ajue wenye timu tupo hai and we will fight anyone who tries to drag us back!
baada ya kuona wengi wetu tunataka kumgeuka walau sasa ameanza hata kuzinduka na kuanza ku-implement tactical flexibilities kwenye mfumo wa uchezaji, which is good.
tuendelee kumtia Klopp jamba-jamba hivi hivi hadi atambue kuwa LFC si timu ya kuwania top 4 pekee bali silverware.
the day tukivuta ndoo walau moja hata ndogo zile cup competitions, nitalegeza mapigo yangu kidogo kwa Klopp.
na nitaacha kabisa mapigo dhidi yake na kuanza kum-adore kama legends wengine akibeba EPL au UCL!
huu ushindi wa mfululizo unaondelea sasa dhidi ya lowly opponents kama West Ham, BHA, etc....this cannot paper over the glaring cracks that we have in our team.
a pathetic defence and a shiite holding midfield - these are the real cracks - na hapa ndipo tuendelee kumshikiniza Klopp usiku na mchana lazima afanye strengthening, siyo kuanza kutongozana na akina Aubameyang kama nilivyosikia kwenye grapevine!
Ratiba ya raundi ya tatu ya michuano ya kombe la Fa, imetangazwa usiku huu na michezo hiyo itachezwa wikiendi ya januari 6 na 7 mwaka 2018
Majogoo Liverpool wataanza michuano hiyo kwa kuchuana na wapinzani wao wa jadi Everton,huku bingwa mtetezi Arsenal akianzia ugenini kwa kucheza na Nottingham Forest.
Matajiri wa Manchester City wataanzia nyumbani katika dimba la Etihad,kwa kucheza na Burnley nao Manchester United wakiwalika Derby County.
Vijana wa Antonio Conte, Chelsea wataanzia ugenini kwa kucheza na Norwich, Tottenham Hotspur watakua wenyeji wa AFC Wimbledon
exactly thats y we need AUBAMAYANG i hope somehow will help usTokea Ahamie Liverpool Mwaka 2015, Roberto Firmino Amegunga Magoli 26 tu Kwa Mashindano Yote..
Wakati Mo Salah Hata Nusu Msimu Haujafika Ameshafunga Magoli 17 na Wala Sio Striker.
Hii siyo rekodi Nzuri Kwa Mchezaji Anaechezeshwa Position Ya Striker... Hayo Ni Magoli Striker abahitajika Kufunga Kwa Msimu Mmoja tu tena Kwa Ligi Moja tu ya EPL...
Honestly we need a True Number 9 who will Score 25+ goals a season in EPL only...
Upo umujimu Wa Klopp Kusajili Striker ambaye ana uwezo Wa Kugunga Goli hapo 25+ kwa Msimu Mmoja Wa EPL ili tutishe Barani Ulaya.
Mig na karius wanafungwa kizembe kwasababu tunatawala sana mpira wana relax, ila degea muda wote anahekaheka zishamkomaza tayar mf cheki game ya spurs,chelsea,liva v/s united..