Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

mi nadhani ikiwa mpaka mapumziko tunaongoza 3 kwa timu kama Sevila basi kipindi cha pili ni kurudi na mfumo mpya 4-4-2....hii 4-3-3 dakika 90 ndio shinda maana wachezaji wanakua hoi ule mchaka mchaka wa kukaba na kushambulia kama unit unakua haupo...
kwa matokeo kama haya ni kocha tu mbinu zake...maana huyu hajui hata kupaki kibajaji muda wote ni heavy metal football
sevila wamekua wavumilivu sana na pia sub zao katika mechi hizi mbili tumekutana nao wametusumbua...
Klopp inabidi aamke jamani
Hivi mkuu umeelewa Henderson alchokuwa anafanya uwanjani?!!
Kwamba ma captain hawafanyiwi sub ama?!
 
Hivi mkuu umeelewa Henderson alchokuwa anafanya uwanjani?!!
Kwamba ma captain hawafanyiwi sub ama?!
huu Mkuu kila msimu unayosonga naanza kuona level yake ni Sunderland..
Zamani nilikua namfagilia ila kwa perfomance kama ya leo akiwa Captain kwa kweli ni mzigo Mkuu..
buyu bwana akicheza na Can hua hata sielewi kama wanajua ukishavaa ule uzi wa Kops lazima ujitume muda wote kwa kutumia akili sio mradi kukimbia tu...
Leo Gomez na Lovren wamejitahidi sana kuwazima Sevila
 
hatutashinda kikombe chochote kinacho husu fainali na klopp

kwa beki hizi kama tuta-qualify tuombe tusikutane na rejuvanated bayern munchen, psg au barcelona
huyu muzee ukijiuliza mechi ya muhimu kama hii anaweka huyu kipa mjeremani alikua anafikilia nini haswa

kuna mechi lazima uweke full nondo kulingana na umuhimu wake ila lol sio Klopp yeye pride yake kuja kabla ya timu au mashabiki...
 
MOTM wa seville ni Alberto Moreno
Huyu jamaa Liver ikishacheza na seville anapotezaga upepo kabisa idk why!!

Kwangu mimi sub ya Can was trash

Halaf JHenderson arudi tu sunderland for sure
 
amekutana na Sevila mara ya tatu leo akiwa Liverpool na bado amekua butu point tunagawana....
wachezaji kipindi cha pili wamechoka sana kule kuonana na faulo za kijinga hakukuwepo tena..
Sasa anatufautia presha tumalize nafasi ya pili tukutane na hao Catalans, Bavaria guys au PSG
 
Ni Liverpool tu ndio wanaweza hii ya Kufunga Magoli 3 Na wao Kufungwa Magoli 3
Aibu ni Joke's kwa Manager
bwana wee kwenye Champions league sio kwa utani huu wa leo...
ina maana Klopp hata ku kill the game hawezi yaani yeye ni kushambulia full throttle muda wote matokeo yake anapigwa yeye aafu anabaki kutoa macho..
 
Mara nyingine najiuliza tukifuzu kule tutaenda kufanya nini kwa beki Wetu huyu ndio akutane na Benzema, Suarez, Lewandowsk, Aguero itakuwa aibu tupu.
ngoja kwanza tumalizane na hawa jamaa wa Ussr kwanza tutajua ni vipi baada ya hapo maana ukiwaza lvpol vs baka/psg/ethad/real/munchen n.k
Tusubiri kwanza mechi ya chelsi haya Uefa tuyaache kwanza maana ni pasua kichwa
 
Unaangalia Mechi unajiuliza Hii time haina Holding Midfield
Mashabulizi ya Opponent yote wanaokoa 18 area ya Penalty Hahahaha
 
Henderson had a 55% pass accuracy ndani ya dk 90. Failed to make a single tackle, failed to win a single header, failed to complete a single forward pass.

And thats our number 6 lol
 
If klopp starts henderson against Chelsea then we'll be witnessing another total destruction.
 
We lose against Spartak and sevilla win against Maribor, and we're out of CL.

Sorry but losing to spartak at Anfield is a possibility.
 
Still laughing about Henderson, cant believe that bum is Liverpool football club's captain.

From SG to this headless chicken lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom