Sevilla anakufunga na Spartak anashinda wote muwe na point 8 na game yako ya mwisho spartak hapo hapo anfield anakugonga
Kwa kwa kwa kwa Leo unafungwa
Atakosaje kwa mfano upe muda uongeeHii mechi Ya Leo Kama King of Egypt Muhammed Salah Hajafunga basi ishaninyima Usingizi..
Coz huyu jamaa amini usiamini iwapo ataendelea hivi hivi Kuna Magwiji Watakujalia na Tunzo za FIFA...
Teh teh teh teh teh teh 😀😀😀 yaani Hii ndiyo Raha Ya Kutojipa Pressure na Malingi Mengi...!
Msimu huu Kwa Liverpool ninaligi Yangu Moja tu Ya Champion League inazidi Kunifanyisha Kitambi Kwa Raha Za Liverpool.
Weekend Tukapige Mazoezi tu Kwa Chelsea ili tukamilishe ratiba ya 2017/2018


HT 0;3
FT 3;3
Hiyo Beki ni Level ya League Two
mi nadhani ikiwa mpaka mapumziko tunaongoza 3 kwa timu kama Sevila basi kipindi cha pili ni kurudi na mfumo mpya 4-4-2....hii 4-3-3 dakika 90 ndio shinda maana wachezaji wanakua hoi ule mchaka mchaka wa kukaba na kushambulia kama unit unakua haupo...Kudos kwa Sevilla, walirudi vizuri sana kwenye game japo ya kuwa nyuma 3:0 first half.
Moreno licha ya kucheza vizuri kwa 70% ila ameicost timu kwa makosa madogo madogo.
tooo much pride il make this muzee miwani joblessKlopp Japokuwa ndiyo Mbinu Zako Mkuu! Lakini Jua Kwamba "Maradhi Ya Kusudi Hayaambiwi Pole"