Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Roy Keane: "If Liverpool were playing in my back garden I wouldn't watch them."
“Come the end of the season when the prizes are given out, Liverpool will be nowhere near them. They’re drifting nowhere.”
huyu Roy hua mdomo wake hauna brake..Roy Keane: "If Liverpool were playing in my back garden I wouldn't watch them."
“Come the end of the season when the prizes are given out, Liverpool will be nowhere near them. They’re drifting nowhere.”
Angalau wanakwenda kupumzika hii ya interntional kwa ushindi...good job kop end
Vichekesho kama hivi vinapatikana looserpool tuKlopp iwapo Ataacha Jeuri Na Timu Akaitafutia Beki, Nakuhakikishia Tunachukua Ubingwa wa EPL Ndani Ya Miezi 6 Bila Ya Kupoteza Mchezo Hata Mmoja....
oooo kumbe Senegal hawajamaliza mechi za kombe la dunia...kweli hapo imekaa mbaya...nwa kwa vile Lallana n C10 wanarudi kidogo kikosi kitakua imara na wanaokwenda wasipate majerahaMkuu Hakuna Kitu Ninachokichukia Kama International Manake Ndio Kinachosababisha Wachezaji Kuwa injury...
Mimi Nina Wasiwasi na Sadio Mane Atakapokwenda Senegal..
Jana Klopp katumia 4-4-2...hii angeitumia tangu mechi ya Man City naamini tungepata matokeo kama ya jana..natarajia hatarudi tena 4-3-3 hivi karibuni maana imetugharimu sana msimu huuTunaanza kuelekea kwenye peak
Lallana ananza kesho kucheza na wenzake!
Coutihno pia anarudi na Soton
Tuonbee tu hizi international break warudi salama
Viva Klopp
huyu mjeremani ujeuri na kutosikiliza ushauri unatugharimu sana...yaaani anadhani hpa ni Dortmond kumbe ni Uingereza siku akiamka usingizini Liva itakua moto kweli kweliKlopp iwapo Ataacha Jeuri Na Timu Akaitafutia Beki, Nakuhakikishia Tunachukua Ubingwa wa EPL Ndani Ya Miezi 6 Bila Ya Kupoteza Mchezo Hata Mmoja....
huyu mjeremani ujeuri na kutosikiliza ushauri unatugharimu sana...yaaani anadhani hpa ni Dortmond kumbe ni Uingereza siku akiamka usingizini Liva itakua moto kweli kweli
Hebu muondoe hendo hapoWhat are you talking about?
Tupo sawa kwa sasa!
Lallana anacheza game ijayo
Coutihno anarudi pia
Hendo anarudi
Nobody want to face Liverpool right now!
Jana Klopp katumia 4-4-2...hii angeitumia tangu mechi ya Man City naamini tungepata matokeo kama ya jana..natarajia hatarudi tena 4-3-3 hivi karibuni maana imetugharimu sana msimu huu
Atolewe kwenye mfumo tu.. HafaiHii 4-4-2 alipaswa kuitumia mapema sana. Bado ana kikosi ambacho kinaweza kutupatia Diamond formation. .. nina hakika Firmino anaweza kutumika nyuma ya Sturridge kwani yeye ni ACM wa asili.....
Naamini tunaweza kumuona Suarez mpya. Huyu Hendo bana....sijui
binafsi naona pamoja na majeraha huu mfumo wa 4-3-3 unatugharimu maana timu pinzani wao wanatupiga counter attack na bila kiungo mkabaji wa uhakika na defence kama unavyoijua naona ni issu...What are you talking about?
Tupo sawa kwa sasa!
Lallana anacheza game ijayo
Coutihno anarudi pia
Hendo anarudi
Nobody want to face Liverpool right now!