Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

3 - nil

Good win.. But hiki kikos sikiamn

4-3-3 still doesnt work
Kwa waliongalia ule mchezo.. it was another poorest game so far
 
Kwa akili yako ata kocha wa totte afukuzwe
 
Klopp namuamini
Die hard Liverpool man
3-0
One game per time
Next victim is Marbor
Waletee
 
Jamaa Hata Alale Na Njaa Mwezi Mzima Huwa Hajali!! Siku Moja Tu Akipata Offer Ya Chips-Kuku basi Atajitangaza Dar Nzima Kwamba Yeye Ndiye Mtu Pekee Anayekula Vizuri...
 
BTW: Jana Tumeshinda na Nimefurahi Nikiwa Kama Die Hard Fan... But Nothing Special Nilichoona...

Kwakweli Klopp Nathubutu Kusema ni World-Class Coach Lakini Yuko Very arrogant linapokuja Swala la Usajili That is Why Moyoni Mwake Huwa Anajua Tatizo Liko wapi! Lakini Mdomoni Mwake Anaongea Vyengine Kabisa...

1) Ninamlaumu Kwanini Timu inamtegemea Firmino wakati anajua Fika Kuwa Firmino sio Striker bali ni Attacking Midfield (CAM, LW & RW)? Klopp as a coach must be responsible kwa Hili.. Coz Alipokuwa Dortmund alikuwa Falsfa Yake Kubwa ni Kurecruit World Class Strikers unlike Liverpool..

2) Pia ninamlaumu Klopp Kwa Kumtegemea Hendo (Fake Captain) Kama ni Defensive Midfielder While this guy Can't even talks with his fellow teammates! Hendo anaifanya Defence line yetu Kuwa More Exposed na Kuweza Kuconced Magoli ya Kizembe Zaidi Kuwahi Kuyashuhudia... Hendo amekuwa Flop Kiasi Ya Kwamba Hata aje VVD na Mrecelo kama LB basi Hautoonekana Ubora wao Kwa Kutokuwa Covered na Hendo... But Keita Next Season will solve this problem....

3) Pia Ninamlaumu Klopp Kwa Kumuekea Lovren Too much Trust while Jamaa Anatucost Kila Game... Na Kosa alilofanya Ni Kubid kwa VVD pekee wakati kila Mtu alijua Hatopatikana... Makosa Ya Mabeki wetu ni lazima Tumlaumu Mwalimu...

MY TAKE: January sibet Chochote Kuhusu Usajili Coz Ninajua Kuwa ni Most Difficult and Expensive Window! But At the Summer iwapo Klopp Atakarabati Position Ya Mshambuliaji (Natural Striker) ambaye atleast Anafunga 20+ per Season!
Na atakarabati Defensive Midfielder Kwa Kumpa Full game time Keita Akiwa katika Ubora Wake
...
Na Akamuondosha Hendo Katika Project Zake Za Kutitengeza Timu kwa Kumtoa Katika Kikosi Cha Kwanza ili awe Mchezaji Wa Hakiba..
Na Akakarabati Defence Yetu Kwa Kueka Mtu Ambaye Ataondosha Tatizo la Kuconcede Magoli ya Kizembe na Lovren akawa ni Beckup yake in Case of injury...
Hapo nitakuwa Mtu Wa Kwanza Kubeba Slogan la #IN_KLOPP_WE_TRUST
 
Kwanza Ebana unamjua Naby Keita?Yule sio defensive midfielder bali yule ni central mid au attacking midfielder?
 
naangalia Burnley v Newcastle live hapa... the legend himself RafaB na kikosi chake low budget jinsi kinavyocheza kwa organisation pale nyuma hadi kati. na jinsi anavyopanga mashambulizi ya kushitukiza utamtaka.

[HASHTAG]#missurafa[/HASHTAG] !
 
Line-Up:

Liverpool team:
Karius, Alexander-Arnold, Matip, Klavan, Moreno, Can, Milner, Wijnaldum, Oxlade-Chamberlain, Salah, Firmino.

Substitutes:
Mignolet, Gomez, Robertson, Henderson, Grujic, Sturridge, Solanke.
 
Kidogo Nimepata Amani Usiku Huu baada Ya Kumuona Hendo Yupo Benchi..
 
Injury Updates:

1) Gini (Come back soon)

2) Coutinho (Come back soon)

3) Mane (Come back soon)

4) Lovren (Hope he'll not be back)

5) Lallana (Come back soon)
 
Akirudi Coutinho, Mane na Lallana Ndani Ya Kikosi Chetu huku Klopp akiwa Ameshatengeneza solid defence line! Lazima Nifanye Kitambi Kwa Raha..
 
Liverpool Yapoteza Penalty Yake Ya Nne Mfululizo Katika Uwanja Wake Wa Nyumbani..

1) Milner
2) Firmino
3) Salah
4) Milner

Sio Rekodi Nzuri Kwa Kweli... Itabidi Klopp atrain Penalty Taker...



 
Roy Keane: "If Liverpool were playing in my back garden I wouldn't watch them."
“Come the end of the season when the prizes are given out, Liverpool will be nowhere near them. They’re drifting nowhere.”
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…