Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ucijali mkuu Mane anarudi next week. Atacheza defence na kuattack
 
Timu Zilizo-conced Magoli Mengi ya away from home Kwenye Premier League this season:

Liverpool (15)
Crystal Palace (12)
West Ham (11)
Stoke (11)

Lol! One of the worst record niliyokuwa Sijawahi Kuishuhudia Tokea Nianze Kuipenda Liverpool..

[HASHTAG]#KloppOut[/HASHTAG]
 
Ungese wa Klopp unaonekana Wazi Kutuharibia Timu yetu na Kudharauliwa na Mpaka Walioanza Kupenda Mpira 2017...

Hill bwege Lazima Lisepe...

[HASHTAG]#kloppout[/HASHTAG]
moja ya matatizo makubwa timu ilipokuwa chini ya BR lilikuwa defence mbovu.

kocha yeyote mwenye akili sawa angeanza walau kushughulikia tatizo hili. Klopp hajafanya kitu - ile back 4 ya jana kwa mfano ni 1 tu ndiye kamsajili yeye nyambafu.

siyo rocket science kwa kocha yoyote mwenye akili sawa kutambua kuwa timu bora hujengwa kuanzia nyuma kwenda mbele. Klopp na mwenzie Wenger wanafanya kinyume chake....afu mtu aendelee kudanganya watu eti kuna siku mafanikio yatakuja. my foot!
waulizeni Arsenal.... kutoka "the invincibles" na sasa kuishia kuwa "the invinsibles"!!

[HASHTAG]#kloppout[/HASHTAG]
 
Tuangalie Michezo hii Mitatu tu:

  • Kwenye Mchezo Tulipocheza na Watford Tuliconced Magoli 3.

  • Kwenye Mchezo Tulipocheza na Man City Tuliconced Magoli 5.

  • Kwenye Mchezo Tulipocheza na Tot Spurs Tuliconced Magoli 4.
TOTAL: 3 + 5 + 4 = 12

Kwahiyo Katika Michezo Mitatu Tumefungwa Magoli 12... Ikisha Still Klopp Anashindwa Kurekebisha Tatizo Halafu Anatokea Mtu From Nowhere anakwambia Klopp is Genius... Ridiculous!

[HASHTAG]#KloppOut[/HASHTAG]
 
unless Klopp ana siri ya ugoni dhidi ya FSG, inabidi waanze kumwonyesha sura ya kazi sasa. fast!

hii timu akipewa the legend RafaB mimi ninaipa misimu 2 tu lazima itabeba ndoo ya EPL au UCL.
 


Na Kuna Kila Possibility ya Kuwa Klopp hana Kabisa Mpango Wa Kuifumua Na Kuijenga Upya Defence kwani Jana Katika Post Match Press Conference Alipohojiwa Kuhusu Defence alisema Kuwa Anamtrain J. Gomez Kwa Ajili ya Centre Back! Huenda Kwenye Next Game Akaanza Kucheza Kama Beki Wa Kati..

[HASHTAG]#KloppOut[/HASHTAG]
 
unaona anavyotaka kutufanya huyu fala?
[HASHTAG]#kloppout[/HASHTAG]
 
Soon everyting will be Ok! Coz I hope This Motherfvcker the So Called Klopp will have Two Options; Either to Sort things out! Or to go away to leave our Fvcking Club alone..
Klopp fatherfvucker, i love you.
 
Me sitaki stress mkuu ndio maana nimeamua kukaa kando, hiyo january sidhani kama atasajili ataishia kusema ni vigumu kupata quality player kipindi cha january.
 
Ashawafanya yani anaendelea kuwafanya tu, klopp fanya hawa watu aiseeee. Usinipopoe plz
Sister acha uchochezi...unazani klopp na Wenger wakitoka Epl points sita tutapatia wapi waache wafanye kazi also tuchukue point zetu kiroho safi kabisa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…