Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa Upande wa Defensive Midfielder Klopp ameonesha Nia Nzuri Ya Kutaka Kurekebisha Kwa Kumnunu Keita..

Nashauri tu iwapo January Atamkosa VVD basi Aachane Nae na Atafute Beki Mwengine akabid ili atleast next Season Timu ianze msimu ikiwa imeshafanyiwa Marekebisho.

[HASHTAG]#WeNeedStriker[/HASHTAG]
Kila siku tutaishia "next season"
 
2d49d4e8805cf2d.jpg

Haya Ni Matusi Danny aliyoamua Kututukana!
By the way! He is right...

⅛ X 100% = 12.5%

Kwa hiyo Takwimu yetu ya Mara hii tuna asilimia 12.5% tu ya Ushindi..

Un-Fvcking believable...
 
Maribor 0 - 2 Liverpool
Scorer: Coutinho dakika ya 13
Assist: James Milner
 
Maribor 0 - 3 Liverpool
Scorer: Mo Salah dakika ya 19
Assist: R. Firmino
 
Sevilla Ameshachomekwa Kimoja huko.. 😀 😀

Hakuna Jinsi isipokuwa no lazima tuongoze katika Kundi hili ili kuepuka kukutana na Kisiki Katika Hatua ya Mtoano
 
Maribor 0 - 4 Liverpool
Scorer: No Salah dakika ya 40
Assist: A. Moreno
 
View attachment 611240

Haya Ni Matusi Danny aliyoamua Kututukana!
By the way! He is right...

⅛ X 100% = 12.5%

Kwa hiyo Takwimu yetu ya Mara hii tuna asilimia 12.5% tu ya Ushindi..

Un-Fvcking believable...

Welbeck ni professional player mkuu HAWEZI andika hayo!
Kumfananisha BR na Klopp ni matusi makubwa sana kwa wapenda kandanda!
Klopp anaingia CL sweet 16 na mechi mkononi,BR alishindwa ktk group lenye team ya Basel na Lugrots ya Bulgaria
 
Leo Najua unacheka tu... 😀😀😀
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom