Smart boy Shewedy
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 3,725
- 3,516
Ina semekana mwamuzi hakuliona tukio...Lukaku ameponaje na yellow pale?
Ina semekana mwamuzi hakuliona tukio...Lukaku ameponaje na yellow pale?
its martin atkinsonLukaku ameponaje na yellow pale?
Hivi kwanini wanamuweka huyu kila siku? Sioni tofauti ya huyu na Webb kukiwa na mechi ya liver vs man uits martin atkinson
Kwenye soko la usajili anakaa anabungaa bungaa tu simuelewi kabisa.Lakini Kwa Ninavyolijua Klopp! January litabid Kwa Kiungo tena Kikinda
Halafu we jamaa mbona unajidai kama timu ya baba yako? Kama timu inakuzingua pumzika kushangiliaHalafu Kwa ninavyowajua Plastic Fans Sasahivi atatokea Mjinga mjinga hapa Atadai "TIMU INACHEZA VIZURI LAKINI HAINA BAHATI"
Bahati!!!! Hivi Klopp Kawa Mjinga Kiasi Gani Ya Kuwa Tokea Msimu uliopita Bado Hajaliona Tatizo la Liverpool la Kukosa Nafasi Za Wazi??
Unafikiri Tatizo Linarekebishwa Kwa Kumrekebisha Sturridge?
Ukweli ni Kwamba January ni Lazima Klopp asajili Striker ili afanye Marekebisho ya Tatizo lilopo kwani nafasi Tunazotengeneza ni Nyingi Kuliko Runazofunga...
HAKUNA CHA BAHATI KWENYE MECHI 6/./
Halafu we jamaa mbona unajidai kama timu ya baba yako? Kama timu inakuzingua pumzika kushangilia
Achana nae mzembe huyo utadhani kalazimishwa kushabikiaKops tu support team yetu
Kumtukana kocha au team ndiyo mmefanya wengine tuwe tuna waangalia tu bila kuchangia!
Inauma sana mwana Kopite anaitukana team yake mwenyewe
JK is all the way!!
Tumecheza vizuri
Wao wana kipa bora kwa sasa duniani
Liverpool inakwenda ku challenge for title
Kops tu support team yetu
Kumtukana kocha au team ndiyo mmefanya wengine tuwe tuna waangalia tu bila kuchangia!
Inauma sana mwana Kopite anaitukana team yake mwenyewe
JK is all the way!!