Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sijaona contribution yeyote ya Henderson na Lovren kwenye game ya leo...
Hapa bado game hazjachanganya. EPL,UEFa,FA,( ), asee!!!
 
kama kuna mfuasi mwenzangu wa LFC yumo humu anaamini kuna timu inaweza kushinda silverware yoyote ikiwa na defence kama hii yetu, huyo si wa kupimwa akili na mkojo tu bali hata haja kubwa kabisa!
Atakua anawashwa washwa
 
Kila mtu anayaogopa majogoo ama niaje Malafyale!??

Sasa turudi kwenye ligi....Wijnaldum sijui alikuwa wapi juzi..leo kajitahidi kwelikweli.

Ila sasa Mane hayupo sijui itakuaje..shukuruni kuwa ni game za mwanzo walau mnaweza kujitahidi kurudi kwenye top 6 mwisho wa msimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Round ya kwanza UEFA kulikuwa na mechi tatu tu:
Barca vs Juve
Tots vs BVB
Liverpool vs Seville
Hizo mechi zingine sijui
Chelsea na Chakubanga ya Abeidjan
Man U vs Basel
Man C vs Fayenood ni UPUUZI tu
Hawa wa tatu bado hawajacheza CL mwaka huu,wanamme wawili ndiyo wamecheza CL toka EPL hadi sasa
 
Ww umecheza na nani CL jana?
Chakubanga ya Abeizijan?
 
kama kuna mfuasi mwenzangu wa LFC yumo humu anaamini kuna timu inaweza kushinda silverware yoyote ikiwa na defence kama hii yetu, huyo si wa kupimwa akili na mkojo tu bali hata haja kubwa kabisa!

Team ipi ina defense nzuri ambayo haifungwi?
Na wamecheza na nani?
Notion kama Man United akifungwa 2 na Stoke wao bado wana beki nzuri lkn Liverpool 2-2 na Seville basi Liverpool ana beki mbaya ni notion ya ajabu sana!
 
Fimo kakosa penalty
Ndiyo soka sometimes inaenda na bahati!
Liverpool tupo vyema sana tena sana!!
 
Elimu yangu darasa la saba.....aisee ndio nyinyi kidogo tu nina degree ya sociology acha ushamba wa elimu wewe
 
Team ipi ina defense nzuri ambayo haifungwi?
Na wamecheza na nani?
Notion kama Man United akifungwa 2 na Stoke wao bado wana beki nzuri lkn Liverpool 2-2 na Seville basi Liverpool ana beki mbaya ni notion ya ajabu sana!
labda huijui vizuri LFC, na si kosa lako kwani inawezekama umeanza kuishabikia juzi tu.

timu yetu ni timu ya silverware, ni level ya Bayern, R Madrid, Barca.

hii mentality yako ni ya wanazi wa Stoke, Sunderland, West Ham, etc.
 
Huyo kocha wenu sijui mnamwita gropu! hanatimu pale,liverpool imebaki kuwa timu yakwenye jamiiforum tu.
 
Huyo sevilla si ile timu aliyochezea nasri wakatolewa na leicester city champions leag au?
 
Malafyale umepanic lilax mkuu huyo alikula 2-0 kwa kibonde leicester pale england msimu ulioisha wakat leicester city anapambana kutoshuka daraja
 
labda huijui vizuri LFC, na si kosa lako kwani inawezekama umeanza kuishabikia juzi tu.

timu yetu ni timu ya silverware, ni level ya Bayern, R Madrid, Barca.

hii mentality yako ni ya wanazi wa Stoke, Sunderland, West Ham, etc.

Hujajibu hoja!
Juventus kafungwa 3-0 jana nae mbovu?
Soka halichambuliwi kama mchezo wa karata!
Seville kutoka nae sare siyo jambo la ajabu,tungetoka sare na Marbor ndiyo ningekuelewa!

Jmosi tukishinda utakuna hapa kuandika aya ndeeefu kumpongeza Klopp
Nasisitiza tena ktk round ya kwanza CL kulikiwa na mechi tatu tu
Barca vs Juve
Tots vs BVB
Liverpool vs Seville
Zingine zote ni UPUUZI tu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…