Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Heri wewe unaejua soka maana kwako Vidic, Cahil na Mané wote ni 'CB'' kiasi cha kulinganisha impact za red cards zao katika mchezo.
Kama sio ni umepanic basi kunywa maji upunguze hasira.
Safari hii mtafukuwa sana makaburi ili kupunguza streess na aibu. Kuna mwimbaji moja kaimba za kale zilipendwa. Leteni mengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu inahitaji uvumilivu sana kudeal na some characters in here.Tukishinda wala hawaonekani baada ya mechi.Ila tukifungwa tu....hata kwa sababu zinazojulikana kama mechi ya jana.....watakwambia ni kwa sababu zilezile wanazozifikiria.You wrong again!
Chelsea kutolewa Cahil akala tatu za haraka haraka na trash Burnley
Pep au Wenger au Klopp mpo pungufu toka dakika ya 37 anakupiga easy
Ina maana Chelsea nao wabovu?Burnley anapata hata sare na Chelsea 11 kwa 11?
Turning point ilikuwa kadi ta Mane.Period
Heri wewe unaejua soka maana kwako Vidic, Cahil na Mané wote ni 'CB'' kiasi cha kulinganisha impact za red cards zao katika mchezo.
Kama sio ni umepanic basi kunywa maji upunguze hasira.
Mkuu inahitaji uvumilivu sana kudeal na some characters in here.Tukishinda wala hawaonekani baada ya mechi.Ila tukifungwa tu....hata kwa sababu zinazojulikana kama mechi ya jana.....watakwambia ni kwa sababu zilezile wanazozifikiria.
Kwao ni tukishinda tumebahatisha ila litimu ni libovu kwa vipimo vyao vyote!!Huu mtazamo ni totally irrational.
Mwingine baada tu ya kuona vikosi na formation za timu zote akawalaumu city kwa kutumia mabeki watatu na kwamba hiyo ingewacost sana kwa kuzingatia ubora wa Mane na Salah.Mtu huyohuyo baada ya kufungwa anakwambia ye alijua tu tutafungwa kwa sababu Hendo sio mzuri.Jina la Hendo lilikuwepo kwenye line up tangu anatoa mtazamo wake wa awali.Ila on a post match "analysis" anashangaa Hendo kuendelea kuwa mchezaji wa kutumainiwa.
Hata kama mimi simkubali kihivyo Hendo lakini honestly siwezi kukubaliana na huu uzandiki wa kijinga kabisa wa vilawama vya kibwege kutoka kwa yuleyule aliyekuwa positive kabla mambo hayajaharibika.
Na wale mnaojificha tukishinda na kutokea kila tukifungwa kuja kuwalaumu walewale nawauliza tukishinda hao mnaowalaumu huwa hawachezi?Mmejaa michuki tu kwa individuals na anybody rational hawezi kuwaelewa kabisa.
Tumepata red card tumepotea mchezoni tumefungwa basi.Malawama hayasaidii hata kidogo
huu mfumo wa Klopp 4 3 3 ni ishu kwa kweli mana Mane kupewa kadi akiwa kwa mechi zote msimu huu juhudi zake zimeonekana kulimvuruga kocha...pale pale alitakiwa abidil mfumo na kuona namna ya kumdhibiti De Bruyne....goli 5 hata tukiwa pungufu ni nyingi sana aisee...Ubishi mengine ni ya ukoo. Hatushangai. Cahil alipewa kadi dakika za 37 baada ya hapo tuliogea Magoli 3 za faster na kusema Leo chelsea watapigwa wiki. Tulivyorudi hakika mlikiona kilichotokea. Mechi ilikuwa balance tulivyopata goli 1 hapo ndo watu wakaanza kuziba mikono yao. Kilichofata tukapewa 2nd red card. Then bila uoga kabisa tukaongeza goli la 2. After 9 minutes mpira ukaisha.
Nyinyi jana mane kapewa red dakika ya 30 and above. Kilichotkea ulikiona. Mlipotea kama hampo uwanjani
Therefore, Liverpool ni mbovu zaidi ya chelsea.
Chelsea 2 red card.
Results. Chelsea 2 vs 3 Burnley.
Liverpool 1 red card.
Results. Liverpool 0 vs 5 Man city.
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli ndio huo coutinho mkubwa kuliko club ya vijogooNaona Kila Mtu Anaweweseka Kwa Coutinho! inaonesha Munamuogopa Sana na Ndiyomaana Mumeumia sana kwanini Hajaondoka...
hakuna aliejuu ndio maana amebaki...mwakani wakimhitaji walete mpunga ataruhusiwa...kweli ndio huo coutinho mkubwa kuliko club ya vijogoo
kweli ndio huo coutinho mkubwa kuliko club ya vijogoo
Mkuu inahitaji uvumilivu sana kudeal na some characters in here.Tukishinda wala hawaonekani baada ya mechi.Ila tukifungwa tu....hata kwa sababu zinazojulikana kama mechi ya jana.....watakwambia ni kwa sababu zilezile wanazozifikiria.
Kwao ni tukishinda tumebahatisha ila litimu ni libovu kwa vipimo vyao vyote!!Huu mtazamo ni totally irrational.
Mwingine baada tu ya kuona vikosi na formation za timu zote akawalaumu city kwa kutumia mabeki watatu na kwamba hiyo ingewacost sana kwa kuzingatia ubora wa Mane na Salah.Mtu huyohuyo baada ya kufungwa anakwambia ye alijua tu tutafungwa kwa sababu Hendo sio mzuri.Jina la Hendo lilikuwepo kwenye line up tangu anatoa mtazamo wake wa awali.Ila on a post match "analysis" anashangaa Hendo kuendelea kuwa mchezaji wa kutumainiwa.
Hata kama mimi simkubali kihivyo Hendo lakini honestly siwezi kukubaliana na huu uzandiki wa kijinga kabisa wa vilawama vya kibwege kutoka kwa yuleyule aliyekuwa positive kabla mambo hayajaharibika.
Na wale mnaojificha tukishinda na kutokea kila tukifungwa kuja kuwalaumu walewale nawauliza tukishinda hao mnaowalaumu huwa hawachezi?Mmejaa michuki tu kwa individuals na anybody rational hawezi kuwaelewa kabisa.
Tumepata red card tumepotea mchezoni tumefungwa basi.Malawama hayasaidii hata kidogo
Mkuu ni wa kuwavumilia tu!
Hendo huyo huyo na Arsenal hapa walimsifia lkn leo wanamponda!Team kabla ya red card sisi ndiyo tulikuwa tunashambulia zaidi
Team yetu ni nzuri sana tena sana!Tuna depth ya kutosha mno!
Kwa kiasi fulani upo sahihi ila unawezaje kulinganisha uwezo wa bunley na man city? Ukianbiwa utaje timu3 ambazo zinaweza kuchukua ubingwa man city utaiweka lakini sio bunley, sasa jiulize uko pungufu na unacheza na watu ambao wanaweza kutwaa ubingwa na upo pungufu unacheza na timu inayoweza kushuka darajaUbishi mengine ni ya ukoo. Hatushangai. Cahil alipewa kadi dakika za 37 baada ya hapo tuliogea Magoli 3 za faster na kusema Leo chelsea watapigwa wiki. Tulivyorudi hakika mlikiona kilichotokea. Mechi ilikuwa balance tulivyopata goli 1 hapo ndo watu wakaanza kuziba mikono yao. Kilichofata tukapewa 2nd red card. Then bila uoga kabisa tukaongeza goli la 2. After 9 minutes mpira ukaisha.
Nyinyi jana mane kapewa red dakika ya 30 and above. Kilichotkea ulikiona. Mlipotea kama hampo uwanjani
Therefore, Liverpool ni mbovu zaidi ya chelsea.
Chelsea 2 red card.
Results. Chelsea 2 vs 3 Burnley.
Liverpool 1 red card.
Results. Liverpool 0 vs 5 Man city.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ubishi mengine ni ya ukoo. Hatushangai. Cahil alipewa kadi dakika za 37 baada ya hapo tuliogea Magoli 3 za faster na kusema Leo chelsea watapigwa wiki. Tulivyorudi hakika mlikiona kilichotokea. Mechi ilikuwa balance tulivyopata goli 1 hapo ndo watu wakaanza kuziba mikono yao. Kilichofata tukapewa 2nd red card. Then bila uoga kabisa tukaongeza goli la 2. After 9 minutes mpira ukaisha.
Nyinyi jana mane kapewa red dakika ya 30 and above. Kilichotkea ulikiona. Mlipotea kama hampo uwanjani
Therefore, Liverpool ni mbovu zaidi ya chelsea.
Chelsea 2 red card.
Results. Chelsea 2 vs 3 Burnley.
Liverpool 1 red card.
Results. Liverpool 0 vs 5 Man city.
Sent using Jamii Forums mobile app
Defense mbovu sana ...yani mbovu mnooDefense yetu huwezi ilaumu kwa jana
Team ilicheza vyema sana kabla ya kadi nyekundu ya mtu anayeibeba team!
Man City angepewa kadi nyekundu mtu wao muhimu sana uwanjani Silva wangesalimika?
Mane's red card gave Man City a game.Period
Hata defense angekuwa VVD na Kompany kwa team yenye quality kama Man City mkiwa pungufu mnafungwa
Hizi historia hazina maana yetote kwa sasa. .Na Ndiyomaana Niliwahi Kukwambia Kuwa Ndani Ya Bongo Hakuna Mshabiki Hata Mmoja Wa Chelsea Anaejua Mpira! Na Wala Hakuna Mshabiki Hata Mmoja Wa Chelsea Anaejua Chochote Kinachohusu Chelsea Kabla Ya Kuja Morinho (Before 2004)...
Mkuu 5G nilikuanza wewe na Cha Ajabu Umeshindwa Kuzilipa Sasa unafurahi Kulipiwa na Man City...
Mkuu Mwanamme hahitaji Kupigiwa bali Hupiga Mwenyewe..
View attachment 585545 View attachment 585547
Acha kujitetea wewe ..Chelsea pamoja na upungufu wa players wawili tena muhimu dhidi ya Barnley ..bado ilifanikiwa kurudisha magoli mawili ...sasa wewe kutolewa tu mane unapigwa tano, je angetolewa mwingine ci ungepigwa kumi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]United alifungwa 6-1 na Man City alipo pata kadi nyekundu Vidic
Chelsea kafungwa 3 alipopata kadi nyekundu Cahil!
Kusema tina defense mbovu mwaka huu sababu ya mechi ya jana sio sahihi!
Ukiwa pungufu kwa dakika karibia 60 kwa team yenye quality kama Man City unategemea nn?
Liverpool tupo sawa sana mwaka huu na game ya jana iliamriwa kwa kadi nyekundu.Period