Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Poleni mtaa huu, msiba sii mdogo huu,
Poleni sana waungwana.
 
Loserpool acheni kulialia na mwamuzi, mkubali tu hamna kikosi kipana cha ushindani. Naamini kuna mengi yanakuja mtakimbia mapema sana jukwaa lenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kadi ya Mane ndiyo turning point ya game!Kabla ya Mand kutolewa hawa tuliisha wabana
Salah alikosa bao la wazi sana na tukawa tunakuja sana
Tuna kikosi imara na kizuri,game ya leo haina maana yyt
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…