Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

So far we have a very strong attacking force and much improving backline.Kama kuna mtu mmoja tu ambaye anataka liverpool ifanikiwe ni Klopp kwasababu kutofanya hivyo kunamuathiri yeye kwanza moja kwa moja kabla ya wengine wote.

Kwa kiasi kikubwa ameweza kurudisha heshima ya klabu.Sasa timu zinazokutana na liver ni lazima kujidhatiti kwasababu wanacheza na timu inayoweza fanya lolote muda wowote.Enzi za kuichukulia poa liver zimeisha na Klopp is the one who made it possible.

Hao akina Mane walionekana wa kawaida wakati wanakuja na wengine humu walilalama kama kawaida yao kuwa amenunuliwa kwa kiasi kikubwa cha pesa wakati ni average player.Ona anachokifanya sasa pale kwenye pitch ndipo utakapokubali kuwa not every time you need to do "big signing" ili upate mchezaji mzuri.Mwalimu anamchango mkubwa sana kutengeneza timu.Na ni timu ndiyo inayocheza sio individuals.Unaweza kuwa na wachezaji top signings wote na bado ukafeli kutengeneza timu.Hiki ndo kitu cha muhimu kuliko kununua na Klopp anakiweza hiki.

Kulaumu sana bila kuangalia ametukuta wapi na tupo wapi ni kuangalia padogo sana.Huwezi jua ameongea nini na mchezaji behind the scene.Kuna January window pia.Vyote hivyo kicha mzuri anazingatia.Akinunua beki desparately afu akaja kuwa Flopp lawama zote tena zitakuwa kwake.Hata huyo Lovren anayelaumiwa sasa hivi alionekana ni mzuri sana the time ananunuliwa.Who knows kuwa VVD may be ingemtokea kama Lovren?

Sisi wengine so far tunaona developments na tunaamini tupo kwenye uelekeo sahihi na tutaweza tu under Klopp.

A top red mind eeh?Fresh tu.....

YWNWA
 
Mkuu nitajie hao madefenders watatu tu...???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikiangalia hayo maandishi Mekundu Na Kuona Kumbe Mtazamo wako sio Trophy bali ni Kupigania UEFA a.k.a Top Four! Basi Hapo Liverpool ni bonge la Timu na limeshakamilia Kila idara wala haihitaji tena kusajili au kutengenezwa zaidi kwani ilivyokuwa hatugombanii Ubingwa, basi timu ya kugombania top 4 tayari tunayo...
 
Barcelona Wameshasalimu Amri Baada ya Kuona Msimamo wa FSG kuwa ni imara na Coutinho hawezi kuondoka Liverpool Kwa Njia Yoyote...

Wameandika.......

"The position of the player to stand and request the transfer, as well as refusing to play a game this season with the red jersey - and to ask not to register for the next edition of the Champions League - has not had any effect.”

Tusubiri mashabiki sasa tuone watakavyomzomea Coutinho manake wazungu hawamuangalii mtu sura wakati anapowazingua...
 
Countinho ametengenezwa na liverpool kuwa star..ila akawaona hawafai..leo hii sura yake sijui ataiweka wapi

Chelsea hazard analipwa 200k pound..arsenal hakuna mchezaji anayelipwa pound laki 200k kwa week..countinho liver walijikakamua wakamlipa hiyo laki but alitaka kuwakimbia..barca yenyewe ipo chovu imepoteza ule ushawish huenda hata champion league ikaishia 16 bora Moreno ..

Nawapongeza FSG
 
Mm sio muumini wa wachezaji wenye majina!
Kama majina ndiyo soka kwa nn Manchester United walikuwa wa 6 mwaka jana?Kwa nn Man City hawajawa mabingwa na kwa nn LC walitwaa ubingwa na wachezaji hawa hawa akina Simpson walio fikizwa Newcastle kwa kiwango kidogo?
 
you can't win an EPL title with a leaky defence, unless you have a Messi or a Ronaldo on your side who will always help you to outscore your opponents....

2 clean sheets from 3 games you call it leaky defense?Ni Man U so far inaishinda Liverpool kwa defense nzuri
 
I got a chair for you boss

Huwa nahisi our top priority is surviving on epl table not to get a trophy

Liverpool for title
Easy tu na mapema!
Hata alipo mleta Mane mlilalamika sana hapa na maandishi yenu yapo
Salah tu kuja hapa mliongea sana na maandiko yenu yapo!
Sasa mnamsifia Mane ,mnamsifia Salah
Pia May mtamsifia sana Klopp
Tunawajua!!
 
2 clean sheets from 3 games you call it leaky defense?Ni Man U so far inaishinda Liverpool kwa defense nzuri
Gwa kukaja me naona kusema tuna defense nzuri baada ya match 3 tu za EPL tutakuwa tunajidanganya, tusubiri match nyingine zaidi then ndio tutajua we have solid defense au laaah.
 
Gwa kukaja me naona kusema tuna defense nzuri baada ya match 3 tu za EPL tutakuwa tunajidanganya, tusubiri match nyingine zaidi then ndio tutajua we have solid defense au laaah.

Upo sahihi sana mwipwa!
LKN Klopp anaona haya mapungufu na anayafanyia kazi
 
We have 2 clean sheets so far!
Just from 3 games!
Only Man U is ahead of us with 3!
Klopp anajua mpira kuliko sisi wote hapa!
Naona mabadiriko makubwa kwa Lovren

We have played 3 games out of 38 games..

Last season tulikuwa na clean sheet zaidi ya 7, but tuliruhusu magoal zaidi ya 50..

We have 4 competitions this season, EPL/UCL/FA/CC..klopp ameongeza depth kwenye attacking tu, but ameshindwa kwenye upande wa Centre back (ambapo ndo weak link kwenye set up ya team)

Matip/Lovren/Klavan wote hao walimiss games msimu uliopita, but Lucas alikuwepo kwaajili ya cover, msimu huu wakiumia hao, nani atacover?

Msimu uliopita injuries zilikaribia kuharibu our chances kwenye top 4, na hii ilichangiwa na depth ya team..team haina depth, tumeongeza game changer mmoja tu ambaye ni Salah..

Good defense wins you league, 2013/14 tulipoteza league kwasababu ya defense mbovu even though we had a deadliest attacking force, mwaka 2005, Benitez alishinda CL kwasababu ya Defense nzuri kwanzia kwenye group stage mpaka nusu fainali..we had Baros and Cisse leading our attacks but Hyypia and carra walikuwa key ya ushindi..

Team inatengenezwa kuanzia kwenye defense (huo ndiyo msingi wa team)

klopp had Hummels/Subotic/Piszchek/Schmelzer pale Dortmund..ndo maana alishinda makombe na hawa watu..

Hakuna team inayoshinda league kwa kufungwa goals zaidi ya 50 kwa msimu..

Ni rahisi sana kushinda knockout competitions (CL/FA/CC) hata ukiwa na backline mbovu, lakini huwezi kushinda league (games 38) kama unaleak goals zaidi ya 50 kwa msimu, kwasababu Goal difference (GD) tu inaweza ikakunyima league..

Wewe ni shabiki wa LFC na unaona ni sawa kabisa club yako kuingia msimu mpya ikiwa na same CB-backline ambayo imeleak goals nyingi kwasababu ya "uzembe" tu na wala siyo tactical approaches..

Badilikeni sometimes, acheni kuona kila kitu ni sawa kwasababu ya Klopp.. klopp ni binadamu pia, siyo Mungu kuwa anaweza akaimprove kila mchezaji, alishindwa kuwaimprove kina Immobile/Persic/Ginter/soktatis/Durm etc..
 
hao hummels subotic aliwatengeneza mwenyewe
subiri"...

usipojua ulipotoka na ulipo hauezi kujua unapoenda...
 
So only VVD ndo beki bora duniani?

Manolas/Gimenez/Laporte/Howedes/Tah/hoedt/Sarr/Fazio/musacchio etc wote walikuwa available and gettable, but kwa miezi yote mitatu Klopp aliona ni beki mmoja tu ndiye bora kuliko Lovren?

And FSG/Klopp walijua kabisa kuwa Southampton walikuwa hawataki kudeal na sisi kabisa, why uendelee kulazimisha kufanya biashara? Na even baada ya VVD kuput in a TR FSG/Klopp walichukua hatua gani? Hawakubid hata kidogo...barca walibid mara 3 kwa Coutinho (3 times)..sisi tulifanya kipi kwa VVD ambaye ndiye alikuwa number one priority this summer?

Last season tulikuwa wazuri mpaka january, ambapo injury crisis ilihit our squad Coutinho/Mane/Matip/Lallana etc..Klopp akagoma kuongeza player yoyote january, baadae akaja kuadmit kuwa it was a "mistake" kutoongeza nguvu kwenye team..now Mane/salah mmoja wao akiumia front 3 yote inavurugika..now Emre akiumia, our midfield is screwed, we have added OX ambaye ni Sturridge 2.0 (injuries za mara kwa mara)..Henderson is playing with backheel problem..na kwa aina ya mpira wa Klopp, injuries are inevitable..sasa kwa mtindo huu tutakuwa hivi mpaka lini? Kwanini tusiwe na squad depth?
 
Bado hujakutana na wababe wako
Bournemouth
Southampton
Burnley
Leicester
Stoket
2 clean sheets from 3 games you call it leaky defense?Ni Man U so far inaishinda Liverpool kwa defense nzuri
Bado hujakutana na wababe wako
Bournemouth
Southampton

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la defense pale LFC ni "individual" na siyo collective..

Lovren ni accident waiting to happen..you cant coach him at all..

Magoal mengi tunayofungwa ni kwasababu ya uzembe wa Lovren/Mignolet..

Lovren cant tackle, cant defend on front foot, shit in the air, cant read defensive lines, panick when under pressure, slow and braindead..only good at marking flat-bully Strikers..

We just needed a good/leader/strong CB to partner Matip..

Now Klopp will need to play a full compact football..meaning will have to play counter attacking football ili kuilinda back line yetu but again tunaweza kustruggle dhidi ya team ambazo zita-sit back na kudefend deep (kama crystal palace)..i know tutashinda kwenye games kubwa kwasababu huwa hazi-sit back na kudefend, huwa Zinacheza open-football kama sisi, ndiyo maana inakuwa rahisi kushinda dhidi ya team kubwa (hata kwenye CL, tutashinda a lot of big games). Lakini kama tukiruhusu team ziingie ndani ya box yetu mara kwa mara then Lovren lazima atafanya makosa..Lovren huwa anasababisha tension kwa wenzake ndani ya box kwasababu zisizo za msingi..

But watu wanakwambia Lovren ameimprove baada ya 2 clean Sheet, he's 28 and been at LFC for 3 years, na bado watu wanaona jamaa kaimprove baada ya 2 clean sheets, wakat walitakiwa kujiuliza ni kwanini kila msimu Lovren huwa anakuwa Villain? Na kwanini uwe na need ya kusema a 28 year-old CB, ambaye amenunuliwa for £25m "anaimprove" baada ya kuwepo LFC for 3 years..
 
hao hummels subotic aliwatengeneza mwenyewe
subiri"...

usipojua ulipotoka na ulipo hauezi kujua unapoenda...

Hummels/Subotic are natural good DF..

Lovren is not a good DF, yupo hivyo tangu yupo Lyon..

BTW, klopp bought Hummels/Subotic for peanuts.. Lovren kanunuliwa kwa £25m

Sasa utamtengenezaje mchezaji uliyemnunua kwa £25m? Mchezaji wa bei hiyo ananunuliwa kwaajili ya kuimprove team na siyo "kutengenezwa"
 
Top Reds watakwambia una "Agenda"...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…