Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Huyo mkeka una muhusuWakuu hivi huyu OX anaweza kuanza Kwenye Timu yetu au Kuna uwezekano wa Kutokea Benchi?
Wazee nasikia vvd yupo njiani anaenda liver kumaliza deal....kuna ukweli wowote hapa?
Hesabu muda tu mkuuMkuu bado wamebana kinyama
Wenger Kumpata Lemar siyo rahisiNaona Wenger Baada ya Kuzikodolea Macho £60m za Man City anaonelana Kushawishika Kumuuza Sanchez! Hivyo kashaanza Kutufanyia Kisirani Kwa Thomas Lemar baada ya Kuona Draxlar Ni ndoto Kumpata...
Wenger Kumpata Lemar siyo rahisi
Too much unnecessary back passes.Sijawahi kuona ubaya wa Hendo
Nadhani match za kwanza ataanzia benchi kiwango kikiwa kizuri na akishaanza ku cope na wenzie hapo sasa mwenye kuperform vizuri ataanza mwenye kuperform ovyo atasugua benchi, sitoshanga Hendo kusugua benchi kama jamaa akionesha kiwango kizuri kuliko captain teh teh au captain kuchezeshwa role nyingine, ngoja tutaona itavokuwa mkuu muda utaongea.Wakuu hivi huyu OX anaweza kuanza Kwenye Timu yetu au Kuna uwezekano wa Kutokea Benchi?