Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Watford Dakika ya 89' nafasi ya 20

Watford Dakika ya 90+5':nafasi 3

Football thing..[emoji1]
 
TUNAFUNGA bao 3 hii ina maana foward haina shida!
Beki ama Klopp amsamehe Sakho au amlete VDJ
Team yetu nzuri sana tatizo mtu wa kucheza na Matip hayupo!
Moreno kabadirika sana
 
TUNAFUNGA bao 3 hii ina maana foward haina shida!
Beki ama Klopp amsamehe Sakho au amlete VDJ
Team yetu nzuri sana tatizo mtu wa kucheza na Matip hayupo!
Moreno kabadirika sana
Klop anabifu kama mwanamke

Uhuru atosha
 
Poleni Liverpool kwa kudondosha point 2 kwenye msimu huu mgumu

Sent from Man Utd fans
 
Majogoo yameshindwa kupiga mbawa leo.. Hii ndiyo PL sio International Champions Cup bana.
 
TUNAFUNGA bao 3 hii ina maana foward haina shida!
Beki ama Klopp amsamehe Sakho au amlete VDJ
Team yetu nzuri sana tatizo mtu wa kucheza na Matip hayupo!
Moreno kabadirika sana
huyu dogo jana alikamua vizuri sana

Shida ilianza alipoingia huyu na ndio chanzo cha kufungwa goli la 3
 
Leo tena tupo dimbani dhidi ya hoffenhaim kule ujerumani. Hiki kitimu ni kizuri has a wanapokuwa nyumbani. Klopp analijua vizuri soka la kijerumani lakini tusipokuwa makini tunaweza kutandikwa na kujiweka katika mazingira magumu ya kucheza ulaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…