[emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] sasa ndo nini hiki??? Tafuteni watu wenye winning mentality ambao wako peak, for sure i stoped calling you mediocre after seeing you capable of top 4 finish, huwezi kuidharau team inayocheza champions league ila sasa mkisajili average players tutawaita tuu med........Our Targets.......
VIRGIL VAN DIJK
ALEX OXLADE-CHAMBERLAIN
RYAN SESSEGNON
NABY KEÏTA
MAURO ICARDI
Mkuu nenda ukacheki mechi yako inakaribia kuanza[emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] sasa ndo nini hiki??? Tafuteni watu wenye winning mentality ambao wako peak, for sure i stoped calling you mediocre after seeing you capable of top 4 finish, huwezi kuidharau team inayocheza champions league ila sasa mkisajili average players tutawaita tuu med........
Siku hizi Uefa inataka quality na form nzuri ya squard na sio uzoefu angalieni msimu huu squad ya barca ndo utaelewa ninachozungumza, kizazi cha kubahatisha kina alonso ambao anakuja wakawaida then anakuja kuwa dhahabu tusidanganyane
Niko naisubiri ianze,Mkuu nenda ukacheki mechi yako inakaribia kuanza
Naby keita bonge la middle, waulize wanaofuatilia bundesliga watakuambia[emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] sasa ndo nini hiki??? Tafuteni watu wenye winning mentality ambao wako peak, for sure i stoped calling you mediocre after seeing you capable of top 4 finish, huwezi kuidharau team inayocheza champions league ila sasa mkisajili average players tutawaita tuu med........
Siku hizi Uefa inataka quality na form nzuri ya squard na sio uzoefu angalieni msimu huu squad ya barca ndo utaelewa ninachozungumza, kizazi cha kubahatisha kina alonso ambao anakuja wakawaida then anakuja kuwa dhahabu tusidanganyane
Wachambuzi wa bongo vilaza uingereza wanapeleka timu 5 so hata kama man wakishinda europa stil.aliyeshika namba 4 ataenda maana maximum wamepewa ni 5 nafasiUtawaweza wachambuzi makanjanja? Kwenye radio za bongo kila mtu mchambuzi.
Uingereza wataingiza timu 5 UEFA kama Man Utd atashinda Europa league kwa kuwa Man Utd hayumo ndani ya top 4. Lakini kama angekuwepo ndani ya top 4 then akashinda Europa league then timu nne tu zingeingia UCL.
Wilj hapo atakuwa ktk 4-3-3Wijnaldum hajawahi kucheza number 6 tangu azaliwe.
Cant believe you want Pickford to be LFC's number 1 goalie.
Nilicheka tu nilipo ona hiyo!Wachambuzi wa bongo vilaza uingereza wanapeleka timu 5 so hata kama man wakishinda europa stil.aliyeshika namba 4 ataenda maana maximum wamepewa ni 5 nafasi
Anajua sana huyu bingwa!WAP naby kaite
Ila Shaffih Dauda jana nilimuelewa alisema England itatoa timu 5 kama MUFC ikichukua EuropaNilicheka tu nilipo ona hiyo!
Hawajui lolote ni wa kuwahurumia tu!
Labda alazimishe move yake, ila sioni RB wakimuuza.Anajua sana huyu bingwa!
Lkn kama hizi gossip kuwa Bayern wanamtaka kuja kwetu ni ngumu
[emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] sasa ndo nini hiki??? Tafuteni watu wenye winning mentality ambao wako peak, for sure i stoped calling you mediocre after seeing you capable of top 4 finish, huwezi kuidharau team inayocheza champions league ila sasa mkisajili average players tutawaita tuu med........
Siku hizi Uefa inataka quality na form nzuri ya squard na sio uzoefu angalieni msimu huu squad ya barca ndo utaelewa ninachozungumza, kizazi cha kubahatisha kina alonso ambao anakuja wakawaida then anakuja kuwa dhahabu tusidanganyane
Thanxs to BR na scout wake waliona mbali sana kwa A Brazilian MagicianJana ilikuwa ni first perfomance ya Coutinho katika sehemu ya kiungo (8) kwa msimu huu. Na amefanya mambo ambayo Pogba huwa anastruggle kuyafanya kwa msimu wote huu katika eneo hilo hilo la Kiungo.
And we bought that little magician kwa £8m tu lol.