umekuja na wewe? ungekua unatumia lugha ya staha kama steve ningeanzisha mazungumzo tuongee mpira, lakini sababu unaendeshwa na mihemko leeme call it a day,Tena jifiche hapahapa ndani ya JF..! Lakini palipo na Wanaojua Mpira Hata Siku moja Usijeifananisha AJAX na Mambo ya Kipumbavu (Atletico Madrid)….
Yani Ajax aliyejiekea rekodi ya Kubeba Champion League mara 3 mfululizo unamfananisha na AM aliepoteza Fainali 2 mfululizo???
Kwa hali hii una kila Hali ya Kujivunia Charity Shield na League Cup Kuwa ndiyo muliyojazia Kabati.... Sijaui kama angalau unajua Kuwa Hilo Kombe la EUROPER muliloingia Fainali Hamjawahi Kulichukua!!!!!!
umekuja na wewe? ungekua unatumia lugha ya staha kama steve ningeanzisha mazungumzo tuongee mpira, lakini sababu unaendeshwa na mihemko leeme call a day,
have a nice evening.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unataka banter au sio? you are welcomeIt took Manchester United 25 games unbeaten to move from 6th to 5th
But it took them just one loss to move from 5th to 6th
Lesson - it's easier to fall in life than to rise.
Msimu mzuri kwa chelsea never experienced.
Fa cup U18 2016/17. Madogo wamebeba. Hili sasa wamebeba Mara tano mfululizo.
EPL champion league 2016/17. Leo wanatawazwa mabigwa mpaka sasa wanaongoza 1 dhidi ya Leading.
Wakubwa wa London.
FA cup tutacheza finali 27/5/2017. Posibility ya kubeba upo.
EPL champion league tunaongoza kwa point 7 mbele ya Spurs. Kuna posibility ya kutawazwa Leo mabigwa....Rahaa sana kuwa na timu kama ya chelsea.#comeonechelsea#
Zitaingia 5Man Utd will take our spot in Uefa au England zitaingia 5 kama Mancs wakishinda europa?
Haaaaaaa. Naona mmeanza utabiri ninyi kwa utabiri hamjambo. Nahisi klop ndo atafungashaHongera Mkuu! Unahaki Ya Kujiproud Kwa Hili... We will meet next season coz this season is over...!
BTW! Give my regards to Conte coz at the end of next season he will be fired.... Reason behind is known.
Aseno atacheza na Everton jmn siku ya mwisho