HAHAHAAAAAAA steve unaelewa maana ya loser? nimekuambia mlipoteza fainali mbili ndani ya msimu mmoja, hii inatosha kabisa we kuwa loser,Spot what difference? Alafu jibu swali langu, Looser anakuzidije mzee? unakimbilia Ujumla. Looser anakuzidije?? Ilibidi saa hii uwe huko fainali. Uwe wa kwanza kwenye ligi ama wa pili, ila wa sita! Tena nafasi uliyong'ang'ania. Wewe winner unaongoza kwa madroo tena kwenye uwanja wako. Huko Europa unatiatia maji, alafu unakuja kung'ang'ana hapa.
Oooh kwa ujumla. kwahiyo kwa moja moja Liver sio Looser ila kwa ujumla?
Bila aibu unasema kwanini nakomalia Europe cups? Hivi kweli shabiki unauliza swali kama hilo? Kwa level ya Clubs kuna makombe yenye heshima kama UEFA? Kwahiyo wewe ukivikusanya hivyo vi Carling na Shields nyiiiiingi utajiita mkubwa kuliko Barcelona ama Real mwenye UEFA Cups?
Bora uende maana hata hatuelewani. Siku ukipata UEFA cups tano. Rudi hapa utuite Looser. Otherwise we are still Euro Elite. Kakusanye Carling na Shields useme tumewapita Liverpool makombe.HAHAHAAAAAAA steve unaelewa maana ya loser? nimekuambia mlipoteza fainali mbili ndani ya msimu mmoja, hii inatosha kabisa we kuwa loser,
alafu unaniuliza loser ananizidi vipi? kwani ukinizidi kwenye msimamo ndio inafuta kuwa loser? at least tuna droo but we dont lose simply bcoz we are not a LOSER as you,
any way mwamba ngoma huvutia kwake, but one trophy in TEN YEARS, TEN, alafu unataka kujifananisha na timu yenye two trophies in less than a year[emoji23] [emoji23] hii utaipata kwa mashabiki wa liverpool tu.
have a good day broh
tulienda vizuri sasa hapa utafanya nikudharau mkuu, mafanikio ya timu hayapimwi kwa uefa pekee mkuu, wapi umeona nimeongelea C. shield?Bila aibu unasema kwanini nakomalia Europe cups? Hivi kweli shabiki unauliza swali kama hilo? Kwa level ya Clubs kuna makombe yenye heshima kama UEFA? Kwahiyo wewe ukivikusanya hivyo vi Carling na Shields nyiiiiingi utajiita mkubwa kuliko Barcelona ama Real mwenye UEFA Cups?
Unajua kitu kinaitwa European Elites?tulienda vizuri sasa hapa utafanya nikudharau mkuu, mafanikio ya timu hayapimwi kwa uefa pekee mkuu, wapi umeona nimeongelea C. shield?
arsenal haijawahi kubeba uefa kwahyo ni ndogo kuliko chelsea, astonvilla na N. Forest? kwahyo ajax ni kubwa kuliko A. madrid?
Wewe unakimbilia ujumla, sasa ujumla wa makombe gani? Si ndo kama hayo ambayo unasema umeyashinda, mkuu?tulienda vizuri sasa hapa utafanya nikudharau mkuu, mafanikio ya timu hayapimwi kwa uefa pekee mkuu, wapi umeona nimeongelea C. shield?
arsenal haijawahi kubeba uefa kwahyo ni ndogo kuliko chelsea, astonvilla na N. Forest? kwahyo ajax ni kubwa kuliko A. madrid?
at least naijua radha ya uefa nenda kabebe PL angalau moja uonje radha yake na weweBora uende maana hata hatuelewani. Siku ukipata UEFA cups tano. Rudi hapa utuite Looser. Otherwise we are still Euro Elite. Kakusanye Carling na Shields useme tumewapita Liverpool makombe.
tulikua tunazungumzia European elites au timu yenye mafanikio kwa ujumla? mbona una ruka ruka,Unajua kitu kinaitwa European Elites?
At least... then you come here to the home of European Elite kutuita Looser? hahaha mkuu. Liver hajawah kubeba PL. Haya we are looser.at least naijua radha ya uefa nenda kabebe PL angalau moja uonje radha yake na wewe
Ulikuja hapa ukasema Liver ni looser kwa ujumla? Looser unakuwaje among European Elites wewe winner haupo?tulikua tunazungumzia European elites au timu yenye mafanikio kwa ujumla? mbona una ruka ruka,
hapana, toa community shield alafu niwekee jumla ya makombe yenu hapa, alafu na mimi nitakiwekea yetuWewe unakimbilia ujumla, sasa ujumla wa makombe gani? Si ndo kama hayo ambayo unasema umeyashinda, mkuu?
Mzee baba, naona hata hatuelewani. Una makombe ya PL mengi kuliko sisi. Sijakataa. Ila wewe una UEFA cups tatu, mie tano.hapana, toa community shield alafu niwekee jumla ya makombe yenu hapa, alafu na mimi nitakiwekea yetu
nimekuuliza swali naona unali-skipMzee baba, naona hata hatuelewani. Una makombe ya PL mengi kuliko sisi. Sijakataa. Ila wewe una UEFA cups tatu, mie tano.
Ninachokisema ni kwamba, si tu kwangu, bali kote. Hakuna mchezaji wa klabu asiyetaka kucheza UEFA. hakuna kocha asiyetaka kunyanyua UEFA cup. Kwa hatua ya Club hakuna cha kufananisha na UEFA cups.
Sasa Looser amekuzidi hapo. Na hutawah kumweka chini daima.
Chelsea na Arsenal si timu za kufananisha na Liverpool. Kwa upande wa Ulaya nzima, wapo sawa tu na wakina N. Forest.
Unaongelea ukubwa kivip wewee? Arsenal, Chelsea wapo level sawa tu na N. Forest. Sijakujibu? Au wewe unaongelea ukubwa wa makombe ya PL?nimekuuliza swali naona unali-skip
chelsea ni kubwa kuliko arsenal?
ajax ni kubwa kuliko A.Madrid na juve?
naomba nijibu hapo [emoji115] [emoji115] tuumalize mjadala.
sasa kwa nini unamuweka arsenal kwenye kundi moja na N. forest wakati arsenal hana uefa, huoni kama unamuonea forest?Unaongelea ukubwa kivip wewee? Arsenal, Chelsea wapo level sawa tu na N. Forest. Sijakujibu? Au wewe unaongelea ukubwa wa makombe ya PL?
sasa kwa nini unamuweka arsenal kwenye kundi moja na N. forest wakati arsenal hana uefa, huoni kama unamuonea forest?
vipi kuhusu ajax na atletic madrid/juve ipi timu kubwa?