Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kulikua na Vita ya kurushiana maneno iliyosababishwa na hii Jersey Kati ya Danny Simpson, G. Neville na caragher, Simpson akatwit "hata Siku moja sitegemei kumuona Neville kavaa Jersey ya mazoezi ya man city" Basi caragher povu likamtoka balaa
 
Mkuu duuh unaua

Loosefool fans mnasoma comments za huyu mtu kweli
 
Unaleta falsafa ya kusajili vitoto ili upate ubingwa wa EPL kama ulivyofanya Dortmund.....hii kitu itawagharimu sana ni ranieri tu aliweza fanya hili...without classic player ubingwa wa EPL mtausikia kwa wenzenu tu........na nasikia mna madeni huko standard chartered hamuwezi sajili mpaka muuze[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] wafanye kutuliza mshono wasitupigie kelele
 
Kulikua na Vita ya kurushiana maneno iliyosababishwa na hii Jersey Kati ya Danny Simpson, G. Neville na caragher, Simpson akatwit "hata Siku moja sitegemei kumuona Neville kavaa Jersey ya mazoezi ya man city" Basi caragher povu likamtoka balaa
Unajua legend unapokua na kidomo domo sana watu wanakuchoka then wanakuaibisha, kama kuna kipindi thiery henry alikuwa anachonga sana kidogo wenger amtolee uvivu akaamua kumstahi, amepata kazi ya ukocha ubelgiji ametulia. Bado hao caragher na mwenzake wanaongea too much hata kama ni uchambuzi wamezidisha
 
Ingelikuwa sheria inaruhusu ningeliomba Nruhusa Nikamtukana Huyu Klopp! Anajifanya Kukomaa Na Timu Kubwa Halafu Analiwa Na Vibonde......
Klopp You Have to Change! Sisi Hatubabaishwi na Matokeo Ya Arsenal na False Performance Zako Za Kukamia Mechi Kubwa utafikiria Ligi ina Timu sita tu kama ukizishinda ndio utakua Bingwa......


[emoji16][emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Ushindi was Leo kama upo ni wabahati........hautaashiria kwamba timu imeimarika.
 
Game ya leo kama tungefungwa,basi nisingeangalia mpira mpaka mwisho wa msimu.

Kipindi cha pili hiki. Ngoja tumalizane na Arsenal kwanza.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…