Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

FSG hawakukataa dau lao walisema uwekezaji walioufanya ni mkubwa mtu akija na pesa nzuri watafanya take-over na walikuja £700m na hawakufanya hata mazungumzo mengi shuhuli ilienda kiunafki nafki kwasababu ya huyu huyu Ian
Pia Tusisahau Kua Huyu Ndiye CEO aliyekataa Ofa Za Mabilionea Wa Asia (Waarabu & Wachina) Hatimae Akawaleta FSG walioeka Maslahi Yao Ya Kibiashara Mbele bila Ya Kuangalia Maslahi Ya Timu....
Haswaaa! Hendry alisema Reus aletwe yeye akatia tena fitna
Ni bora asepe Ian ametuangusha kwenye mengi
Aondoke tu na anayo bahati ulaya watu ni wastaarabu ila laiti kama angekua bongo/africa angezomewa mchana kweupeee wakati akiondoka
 
And Marco was very attracted to Anfield ila jamaa kwa ubanizi wake tunakosa wachezaji wazuri
 
Mmebaki kutangaza tu watu maarufu wanaoshabikia jumba bovu
 
Unamuombea mamamkwe afe halafu anakufa mama yako. Hatariiii, mind the gap.
 
Hope so mkuu, naona wametubahatisha kamoja, ila bado naimani tunawafunga.
Ndo imetoka hio msijipe moyo
waulizeni man utd tena walikua uwanja wa old trafford lakin matokeo yakawa bila bila, leo yuko home ground na mshafungwa tayari ...mtakujaje na ni wajanja sana katika kukaba na kuzuia mianya yote yani kama kumbikumbi walivo na ushirikiano
 
we are going to register first premier league win in 2017
Register first PL win on my Foot, mmeshafokonyolewa loserfool.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Time will tell mkuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…