Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Shida kubwa sana kaka, watakuja na mchezo wa fujo wa rafu za kijinga,
Lakini hawatachomoka, watachezea sio chini ya mbili
Nimekua najaribu kuangalia ni mchezo gani hawa lfc watacheza mpk sasa sijapata majibu.


Nimeangalia liverpool na Man City na Utd uchezaji wao ulikua ni wakujilinda sn.

Sasa nahisi leo wanaweza kufunguka kutaka kushambulia na hapo ndio watakapo umia....
 
Mkuu timu yangu sawa tia maji tia maji lakini huwezi tufunga.
 
I hate to say this but naiona loserfool ikitoka na point(s)
 
Shida kubwa sana kaka, watakuja na mchezo wa fujo wa rafu za kijinga,
Lakini hawatachomoka, watachezea sio chini ya mbili
Leo zinapunguzwa point 3,zinabaki pointi 7,jpili arsenal anapunguza tena 3,zinabaki 4.he he hee
 
Wacha muuaneee eeeeeee wacha muuaneeee!![emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] ...... eeeehhh nawwkaribisha kwenye mkesha wa kuuaga mwezi wa kwanza na kuingia mwezi wa pili.
Hahaaaa chelsea anakufa leo.... hii tarehe nimeisubiri kweli chama langu litanifurahisha kama ninavyofurahi February kuja
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…