Leloo June
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 1,015
- 947
Kocha wa hull nae kawazarau liverpool vilevile wachezaji wengi walioanza leo sio first team [emoji14] [emoji14] [emoji14]View attachment 464622
View attachment 464623
Aise naona Klopp iliwazarau hawa, hivi hakuna aliyemwambia
kuwa timu hii ilikuwa kwenye PL?
Unajua kutabiriNasema FT Liver 3 Wol 2
Nyie mpo nafasi ya ngapi kwenye league?Team yenu ina Kimeta.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duh! Bonge la goli. Nina uhakika litachukua goli bora la mwakaLiverpool vs Wolverhampton
Mints: 195
Goal : Mane [emoji460]
: 3-2
What a long shot from GABON[emoji1][emoji1]
So sadBila Ya Kusahau Ni Kwamba! Katika Michezo 4 Tuliyofungwa Ndani Ya January, Mitatu Tumefungwa Ndani Ya Anfield.....
[HASHTAG]#KloppMustStayForBrightFuture[/HASHTAG]......
Yaani uwezo wa mchezaji mmoja mmoja ni mdogo sana,.....umepunguwa sanaaaaa.Tumecheza Michezo 8 Ndani Ya January!
Tumefungwa Minne (Soton 2, Swansea 1 na Wolves 1)...
Tumedraw Mitatu (Sunderland 1, Man U 1 na Plymaouth 1)......
Tumemfunga Mmoja (Plymouth Kibonde Wa Daraja la Pili asiyejua Hata EPL ni nini!)......
Hii Ndiyo Faida Ya Kutisajili Na Kuishia Kutangaza Target Za Uongo Tu kuwa Anataka Mchezaji Kumbe Hana Lolote....
[HASHTAG]#BadoNinaImaniNaKlopp[/HASHTAG]