Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Leo naona mambo magumu hadi kipindi hiki cha kwanza kina elekea kuisha hapa.
Mkuu hujaelewa. Philosophy ya Klopp ni patience ndo maana hata hawa force wanapanda taratibu tu. Klopp anaamini katika patience zaidi ya force play. Liver imepiga pasi nyingi sana nyuma na kati coz Swansea hawakuwepo ila kule mbele walipo pasi chache sana za maana
 
Mkuu bado unaamini kwenye patience
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…