Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ila hongereni na asanteni kwa kutimiza our wish!

Yours truly,
CFC.


Mimi Japo Nimeambulia Point Moja (Too Sad), Lakini Sikupoteza Mchezo Ndani Ya OT..... Kuna wewe sasa Chelsea uliesahau Kuwa na Wewe Utakwenda OT! nakuhakikishia Kuwa Man Atakufunga.... Man U hatakubali Kupoteza Gemu Kwa Chelsea ndani Ya OT hata Siku moja...Kipigo Kinakusubiri Kwani Na Yeye Nafasi Ya Pili/Tatu/Nne anaitaka pia....
 

Kama kweli klopp hakujua side effects iwapo atakapo kosekana mchezaji mmoja au zaidi basi anatatizo
 
ukiona timu moja inafurahia draw na nyingine inasikitika, ni rahisi sana kujua ipi ni timu kubwa baina yao!
Timu kubwa haipimwi kwa mechi moja broh, labda kama unazungumzia ubora.
 
Kama kweli klopp hakujua side effects iwapo atakapo kosekana mchezaji mmoja au zaidi basi anatatizo

Mkuu Ed n Edd nEddy Mbona Klopp ameshaliona Hilo Na Kalikusudia Kulifanyia Kazi Hii January Kwa Kufatilia Target Zake Nyingi tu ingawa Timu Zao Zimekataa Kutoa Wachezaji....

Klopp Kakabidhiwa Timu ikiwa na Magarasa Wengi na Injury Za Muda Mrefu Kina Hendo na DS.. Lakini Kaamua Kuitengeza Timu na Akafikia Mpaka Alipo lakini Bado Hajakamilisha area "TANO" ambazo Anazifanyia Kazi ↓↓

1) Winga (Mmoja)
2) Holding Midfielder
3) Centre Back (Wa Kusimama na Matip)
4) Fullback Left (Mbadala Wa Milner)
5) Shot Stopper (Mbadala wa Migno/Karius)

Kwahiyo Klopp anajua Tatizo la Risk iliyopo Katika Timu inapotokea injury au Something ealse na Ndiyomaana Anatafuta Wachezaji Kuboresha Kikosi Zaidi... Na Next Season Hakuna Ubishi Kuwa Tutaziona Baadhi Ya Sura Mpya Katika Timu Yetu Hususan Kwenye Midfielders na Attackers...

My Take: Ningependa Zaidi Kama Klopp Atatafuta CENTRE FOWARD mmoja Ambaye Ni "Goal Hunter" Kama Vile Aguero, Costa au Suarez... Vipaji Vipo Vingi tu Vya Kutafuta...
 
Liverpool TUNACHUKUA ubingwa wa EPL
Mnaweza niona kama chizi leo lkn April mtakumbuka nisemayo
January 31 Chelsea namchapa easy kabisa
Chelsea kama mmemuona teams zimeisha jua plays zao
Hawezi toka kwa Liverpool,Everton,Man City,Man u na Arsenal
 
Liverpool TUNACHUKUA ubingwa wa EPL
Mnaweza niona kama chizi leo lkn April mtakumbuka nisemayo
January 31 Chelsea namchapa easy kabisa
Chelsea kama mmemuona teams zimeisha jua plays zao
Hawezi toka kwa Liverpool,Everton,Man City,Man u na Arsenal
Maajabu mnayoota kuyafanya Leicester city ameshayafanya msimu uliopita so subirini labda miaka 20 ijayo mnaweza mkawa mabingwa kama ilivyokuwa kwa Blackburn miaka 20 na kitu iliyopita ila kwasasa msiote ubingwa kwa wachezaji wenu wa mia 200 200 kama Leicester city.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…