Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ndugu yangu King Ngwaba acha kujichosha bure kumuelewesha mtu ambaye ameshadhamiria kutoelewa.

Unadhani unayoyaongea hayajui? Au hayaoni?
 
Nani anataka kombe la mbuzi FA
FA ni ujinga tu na sio priority kwa Liverpool


Na wengi Wanashindwa Kutambua Kuwa Fixture Ya Liverpool inasomeka Kuwa Ndani Ya January Liverpool Ana Michezo 6 Muhimu ikiwemo Miwili ya Nusu Fainali Ya EFL CUP dhidi Ya Southampton Ambayo ni January 11 na 25..... Katika Michezo hii 2 Liverpool itacheza Kamili kwa lengo la Kushinda ili kufika Finali...

Na Minne ya EPL ambayi ni Dhidi ya:-
1) Sunderland
2) Man U
3) Swansea
4) Chelshit

Sasa Hapo Ukiongeza na 1 wa FA wa Juzi utapata idadi Ya Michezo 7.... Hivi Ni Kocha Gani aliyemjinga Kiasi Ya Kwamba Arisk Wachezaji Wake Kwa Fixture hii?
Hata Mimi Nimefurahi Sana Kwa First XI yetu Yote Kuekwa Juu na Kuchezeshwa Madogo Japokuwa Hawakushinda atleast Timu Ya First XI ipo Salama..


Ndugu yangu King Ngwaba acha kujichosha bure kumuelewesha mtu ambaye ameshadhamiria kutoelewa.

Unadhani unayoyaongea hayajui? Au hayaoni?
 
*Michael Oliver to officiate the game between Man United n Liverpool on the 15th of January*
 
Home
Liv v Wat (6:1)
Liv v stoke (4:1)

Away
Arsenal v Liverpool (3:4)
Swansea v Liverpool (1:2)
 
[emoji117] Flights or train travel to Liverpool
[emoji117] Two night stay at the team's hotel
[emoji117] Match tickets
[emoji117] VIP experience at a Liverpool game
[emoji117] Anfield stadium tour
[emoji117] Access to a pre-match warm-up
[emoji117] Lunch with an LFC legend


 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…