Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Kikosi hicho apo
Tatizo lenu moja tu. Mkifunga mara moja tu shida. Ebu weka recodi hapa tuone
Hizo game sita sipotezi ata moja
Mmeshaanza kuugua ugonjwa wa Arsenal?Teh Teh Teh Teh
leo km ligi ndio ingekua inaisha chelsea lazima apewe kombe
Mkuu ugonjwa Arsenal mbaya sana, wao unajua ni washindani wa namba nne.Mmeshaanza kuugua ugonjwa wa Arsenal?
Ligi haijaisha mnajitangazia ubingwa baada ya mechi 18?