Mbinu mkuu, jana haikupigwa "gegenpressing" mlioadhibiwa pale darajani, lallana, hendo, dum, na can walifunga njia zote, hawa ndio walikata umeme pale katiAta hii city kweli sio ile inapiga shuti moja golini on target tena kwa lfc??? [emoji13] [emoji38] [emoji23]
Hatuangalii yaliyopita....Tatizo lako liver unawachukulia poa sana wakati alikufunga, jaribu kumuheshimu aliyekufunga
Yani nyie siku yetu ata mtumie mbinu gani lazima tuwanywe tuMbinu mkuu, jana haikupigwa "gegenpressing" mlioadhibiwa pale darajani, lallana, hendo, dum, na can walifunga njia zote, hawa ndio walikata umeme pale kati
Sizungumzii swala la kushinda goli ngapi nazungumzia aina au mpira ulioucheza jana wa kuchungulia km mjusi aliebanwa na mrango
Well comment zangu za jana zilikua vzr tu nilisema sioni namna mtakavo wazuia hao city na ni kweli city alimiliki kila kitu nyie mna bahati ya kupata goli tu. Na bado nilisisitiza tusubiri tuone.
Lete statistics za game ya jana tuone usibishe tuWewe Kituko Kweli 😀😀😀 ....
City Gani hiyo iliyomiliki Kila Kitu Wakati Haijafanya Hata Shambulizi Moja La Hatari Golini Kwetu???
Mkuu ni akili Yako Kweli???
Hebu Lete Takwimu Za Mechi Tuone Huo Ubora Wa City Jana ni Upi....
Kama Mpira ni Pasi, basi Sawa City ni Mabingwa Wa Msimu Huu...
Sasa siku yetu chezeni tena hivyo muone sasambu.....Mkuu Sisi Mpira Wetu Tokea Kuanza Msimu Huu Ni Wakushambulia...
Lakini Jana Klopp Kaamua Kubadilisha Mfumo Wa Kushambulia Na Akachezesha Mfumo Wa Ukabaji Ndiyo Maana Hakuanzisha kuchezesha Striker (Origi/Sturridge) Jana...
Alijaza Mabeki Na Viungo Watupu Kati Kati ili Kukabiliana Mfumo Wa Gurdiola Wa Kuchezesha Viuongo Wengi Kati...
Liverpo midfielders:
Hendo, Gini, Can, Lallana...
Pia Firmino na Mane Jana Aliwaeka Watokee Kati Kama Midfielders....
City Midfielders:
Fernadinho, Y Toure, Silver, De Bruyne, Sterling..
Sasa Unafikiria Klopp Asipochezesha Mfumo Hule Wa Kuzuia Mipira Ya Kati iliyowacost Arsenal Kwani Ndiyo Mbinu Pekee Ya Gurdiola Tokea Berselona si Aguero Angepiga Hat Trik...!!
Lakini Jana Uliona Mido Zetu Zilivyowazuia Silva na De Bruyne hata Mpira Mmoja Hawakufanikiwa Kumpa Aguero...
Mkuu Mpira Ni Mbinu ya Kumzia Mpinzani Sio Kupiga Pasi tu Kama Arsenali....
Klopp Angeamua Jana Kucheza Mpira Wa Kushambulia (Heavy Metal Football) Basi City Angeutafuta Kwa Tochi!! Lakini Golini Kwetu Madhara Yangelikuwa Makubwa...
Mkuu Hule sio Ubovu, Hile ni Mbinu...
Hatuangalii yaliyopita....
Mara ngapi nakufunga hapo kwako???? Nilikufunga hapo ktk game ambayo mlitakiwa mpate sare tu ili muwe mabingwa lkn kwa ujinga wa Brendan Rodgers eti akataka sifa ya kua bingwa huku akiwa kaifunga chelsea. Kilichowakuta unakijua.....
Ulinifunga awali timu ilikua haiko pouwa lkn tarehe 31 nakupiga hapo hapo kwako tena huyo Klopp ajiandae sn
Ntuzu weka akiba ya manenoYani nyie siku yetu ata mtumie mbinu gani lazima tuwanywe tu
Lete statistics za game ya jana tuone usibishe tu
Sisi tunabadilika kutokana na mpinzani anavyochezaSasa siku yetu chezeni tena hivyo muone sasambu.....
Nani anaongoza ktk hizo statistics?? Anaeongoza ndio alikua kakamata mchezo huo ni ukweli usiopingikaView attachment 452885
Namba Za Stats Zinaongelea Ukweli huo ↑↑...
Sasa Hapo Nioneshe Hiyo Performance Ya City Hata Useme ilikuwa ni Yakutisha dhidi Yetu....
Yaani Anything hapo Deference ni 1 au 2 sasa hapo Kweli Pana Ubora Wa Performance kwa Mtu Anaejua Mpira...
To be Honest Timu inayohesabiwa Kuwa Kuwa Imetawala Mchezo ni Shame Kupiga Shots on Target 3!!!!!!!!!
Kwa Stats Hizo Tunasoma City imecheza Mpira Wa Kawaida tu.....
Sasa siku yetu chezeni tena hivyo muone sasambu.....
Tulia uone mkuuHa ha ha ha...mkuu siyo kila siku ni jumapili!
Kipindi cha kwanza chote tuliwashika City vilivyo...wao walikuja kutubana kuanzia dk 55 mpaka 75 hivi.Well comment zangu za jana zilikua vzr tu nilisema sioni namna mtakavo wazuia hao city na ni kweli city alimiliki kila kitu nyie mna bahati ya kupata goli tu. Na bado nilisisitiza tusubiri tuone.
Ilidhibitiwa, that's why!Ata hii city kweli sio ile inapiga shuti moja golini on target tena kwa lfc??? [emoji13] [emoji38] [emoji23]