Sawa Sheikh Yahya!!Hamuwezi kuchukua points tatu kwa chelsea tena. Hilo msahau kabisa.
Kumbuka tarehe 15 uko away na Utd hapo lazima ufungwe na hiyo itakua ni kabla ya kukutana na chelsea
Na sisi kwa sasa hatuwezi kufungwa na timu yoyote inayowania ubingwaSawa Sheikh Yahya!!
Mpira wa mdonomi mnauweza sana,lkn sisi Anfield hatuwezi fungwa na yyt yule
Conte's password has been revealed by Stoke CityNa sisi kwa sasa hatuwezi kufungwa na timu yoyote inayowania ubingwa
You said that on WBA as well but how did the game end up????Conte's password has been revealed by Stoke City
Team nyingi sasa zitaiga alivyo cheza Stoke leo na kufanyia marekebisho
Jumatano humfungi Spurs
Mbinu za Conte zimeisha anza kuwa na ufa
Kwa kiwango cha hizi mechi tatu za mwisho huwezi mfunga SpursYou said that on WBA as well but how did the game end up????
Umekua shekhe Yahaya tena??? [emoji12] [emoji23] [emoji38] [emoji13]
Kumbe wewe humjui Conte, chelsea inacheza kulingana na nguvu za adui zilivyo.
J5 njoo uone kabumbu safi kabisa nirakavokua namchapa Spurs
Kila siku mnaimba nyimbo tofauti na kubadilisha mistari tu mara nguvu ya ufungaji ya chelsea imepungua mara kiwango cha game tatu yooote ni nyie tu lkn sisi hao tuko pale paleKwa kiwango cha hizi mechi tatu za mwisho huwezi mfunga Spurs
Liverpool yenye Coutihno nakupiga wewe kama Hull City tu
Hellooooooo...!liver atachakazwa vibaya sana na city jumamosi, beki yao haipo sawa
Mkuu...Heri ya mwaka mpya!Kuwazuia hao mbili kimo wa City mfanye sn kz maana wanatiririka hao na mpira yaani ni hatari sioni namna mtakavo wazuia
Hamuwezi kuchukua points tatu kwa chelsea tena. Hilo msahau kabisa.
Kumbuka tarehe 15 uko away na Utd hapo lazima ufungwe na hiyo itakua ni kabla ya kukutana na chelsea
Mignolet anazidi kuimarika siku hadi siku.Ametokea mipira miwili jana ambayo kama asingefanya huo uamuzi na kuamua kubaki langoni Aguero alikuwa anatufunga.
Anazidi kuwa na confidence na akiendelea na hii performance Karius atakuwa anadaka kwenye league cup.
Firmino ana vitu vingi sana mguuni kwake.Anapopata mpira huwezi kutabiri atauchezaje.Mabeki wa City jana amewahenyesha sana.Ingawa hakufunga lakini walilala na viatu.Huyu jamaa kuna mambo mengi sana bado hajafanya.
Mpe credit za kutosha spurs, Chelsea hii mechi hatoboi, amepata ni drooI'm Happy For another Clean Sheet...
Tatizo Lipo Sehemu Moja Tu Katika Kumfukuza Chelsea!
Ni Kwamba Timu Nyengine Zote 18 zilizobakia Hazina Uwezo Wa Kumzuia Chelsea...
Ni Sisi Liverpool Pekee Ndiyo Twenye Uwezo Wa Kumzuia Chelsea..
Point iko hapa! Chelsea Anaongoza Kwa Points 6, Na Liverpool Tunauwezo Wa Kuchukua Tatu Kutoka Kwake Ndani Ya Anfield Hapo January 31... Je Hizo Tatu Zilizobakia Atazuiwa na nani???????
Lets Hope Kwa Man U, Everton and Spurs....
Mkuu kama ni mtu wa kubeti ipe spurs credit, hii game hamtoboi,Kila siku mnaimba nyimbo tofauti na kubadilisha mistari tu mara nguvu ya ufungaji ya chelsea imepungua mara kiwango cha game tatu yooote ni nyie tu lkn sisi hao tuko pale pale
Subiri tarehe 4 uone kz hapo ndio utajua kua tumedhamiri kua mabingwa
Thx na kwako pia mkuuMkuu...Heri ya mwaka mpya!
Karibu sn tarehe 4 uone tunamvyompiga mtuKama ni hivyo Man U hatanifunga mimi tu!! na hata wewe atakufunga! right?
Halafu Katika EPL mimi kukufunga wewe ni ajabu au?
Mkuu mbona Katika top 4 wewe huwa nakudonoa sana tu au umeshasahau?
Kwanza hifazi hii Cimment! Trust me Spurs Anakuja kukuzuia na hutomfunga..
Matokeo yatakua ya aina mbili tu...
1) Aidha Mutadraw...
2) Au Spurs Atakufunga...
Lakini Katu ndani ya White Hart Lane hutoweza Kumfunga Spurs.... Manake Kashaiyona Nafasi Ya Nne indoeleka...
Kama Huamini basi hifadhi hii Post kwa reference za baadae...
Ata kwa city mlisema hivi hiviMkuu kama ni mtu wa kubeti ipe spurs credit, hii game hamtoboi,