Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Liverpool haiwezi kushinda EPL kama inakomaa kushinda vizuri kila mchezo, bila zile 1-0 na 2-1 za kuhesabu pointi 3 tu bado sana,
You guys pride yenu inawacost EPL miaka kadhaa now ,imezeni kidogo may be, may be , may be...mnaweza kuwa kama underdogs wa last season ,nice win today
Sasa Ndiyo umeandika nini???