nafikiri Unazi unamsumbua Mie natoa Unazi, Kante ni Very Good kwenye kuharibu kama kina Makelele na Mascherano kwa hilo namsifu sana ila kwa Best Sign labda alivyoenda Leicester, so kwa Chelsea anatakiwa stats awe zaidi ambayo Mane kuja LFC watu hawajategemea atafanya vizuri hivi sio kwa mashabiki wa LFC tu hata wa nje, Mane ni Top 5 za sign msimu huu, pia tutakuwa tunamuonea Kante kulinganisha na Mane yupo mbele yake hata kina Firminho sio haki wale wafungaji sio wazuiaji so tukija hivi tunatakiwa kufananisha na mtu style moja wa kwetu japo tunamponda sana Hendo ukitizama stats zake na Kante pengine zimegongana na hapo tunalalamika Hendo hachezi vizuri je akicheza vizuri?
Jamaa anafanya kazi kubwa wala usimponde kwa mechi kwa umri wake na kaziba pengo la mtu nazani ni bonge la mchezaji aminiwe tuOrigi was a big disappointment tonight
Jamaa anafanya kazi kubwa wala usimponde kwa mechi kwa umri wake na kaziba pengo la mtu nazani ni bonge la mchezaji aminiwe tu
Sturigge husubili wenzake wafanye kazi yeye amalize lakini Origi hutoa jasho kwa jitihada na ukiangalia vizuri aliwekewa ulizi mkali kuzingatia na matokeo yake ya hivi karibuni
Origi mzuri kuliko ata lukaku ndugu ni maoni tu
Tetesi Zaha anaweza kua mbadala wa Mane january akielekea kwenye AFCON
Ile speed yake na machachari yake kama wanafanana hivi na Mane, kama ni kweli akija ataongeza kitu kwenye timu na klopp anajua kubadilisha wachezaji hope dogo ataitendea vyema namba ya maneDogo mbishi sana namkubali
[emoji38] [emoji38] [emoji38] mkuu kuna Moreno hapo, mhispania. Kazi yake sasa imekuwa ndiyo hiyo tu na kubadilisha rangi na mitindo ya nywele.Kops wa kibrazil naona leo wapo kwenye mtoko na warembo wao
Julian Draxler's agents, ROGON Sportmanagement GmbH & Co. KG, are also agents for Firmino and Karius.
Zaha kashacheza Manchester sioni wanazi wa liver kima kenny danglish wakimruhusu klopp kumnunua huyu jamaa.Tetesi Zaha anaweza kua mbadala wa Mane january akielekea kwenye AFCON
Mkuu, Klopp ndiye mwenye maamuzi ya mwisho kwenye swala la usajili. Akimtaka mchezaji hakuna cha Daglish wala nani anayeweza kuzuia.Zaha kashacheza Manchester sioni wanazi wa liver kima kenny danglish wakimruhusu klopp kumnunua huyu jamaa.
Hellow guyz
Let us blue colour fly high
Gudnyt bluez