Sure iyo kitu ilitokeagahahahaha
Mignolet always huwa anareact vizuri akiwekwa bench..
si unakumbuka hata kipind kile BR alivyomweka bench dhidi ya Brad Jones..alivyorudi alicheza vizuri..then akarudi kwenye errors tena..
confidence ni main problem kwa Migs.
lol, Guess Zorc hana pressure, dogo mkataba wake unaisha 2019..kumtoa pale inahitajika hela ndefu, and anajua klopp hawez toa kiasi atakajohitaji kwasasa..
but i think, we should be targeting options za kwenye defense, sana sana new CB..
Yupo Napoli na ndokipa wao namba 1Hivi Pepe Reina yuko wapi nowadays?
Pulisic hawezi ondoka January,Next summer Dortmund watakuwa na tour US na uwepo wa Pulisic ndio uliwa-influence kwenda US ndio maana Zorc kasema Pulisic hawezi uzwa kwa sasa
Hii mipango ndio iliokujadili wewe mpaka ukauzwa pia [emoji28][emoji23] tulijadili uuzwe na ukauzwaTimu hii washabiki Mnamipango hongereni sana kama mko kwenye kamati ,anunuliwe huyu mapema,huyu auzwe,akipatikana huyu......
Liverpool is like religion atuhitaji Maneno yenu you are free to move from this forum tunajadili issue ambazo zinagusa klabu yetu pendwa,na raha ya shabiki ni ushindi so tuacheTimu hii washabiki Mnamipango hongereni sana kama mko kwenye kamati ,anunuliwe huyu mapema,huyu auzwe,akipatikana huyu......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] katika wachezaji 10 wanaojadili wanunuliwe anakuja mmoja tu.Timu hii washabiki Mnamipango hongereni sana kama mko kwenye kamati ,anunuliwe huyu mapema,huyu auzwe,akipatikana huyu......
Msamehe tu hajijui.Wewe wacha kujishauwa shauwa kama malaya wa buguruni ! wewe ndo unajiona ulichimba msingi wa Anfield !? ...shika hamsini zako, usinizoe na tabia zako za kishoga shoga.
Unamaana gani mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] katika wachezaji 10 wanaojadili wanunuliwe anakuja mmoja tu.
Hakuna mchezaji anaetaka kucheza makumbusho
Vipi, unataka tumjadili mkeo !??Timu hii washabiki Mnamipango hongereni sana kama mko kwenye kamati ,anunuliwe huyu mapema,huyu auzwe,akipatikana huyu......
Ha ha ha ha umetisha mkuu, hakika hilo ndio jibu alilostahili ili ni jukwaa la mpira na watu tunajadili mpira sasa yeye sijui anataka tuwe tunajadili nini 🙂 🙂Vipi, unataka tumjadili mkeo !??
Liverpool is like religion atuhitaji Maneno yenu you are free to move from this forum tunajadili issue ambazo zinagusa klabu yetu pendwa,na raha ya shabiki ni ushindi so tuache
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] katika wachezaji 10 wanaojadili wanunuliwe anakuja mmoja tu.
Hakuna mchezaji anaetaka kucheza makumbusho
Lolllll, ahsante kwa kunichagulia timu, sikujua kama mm nipo arsenalPole Na kipigo cha Guardiola
Arsenal ni timu ndogo sanaaaa
Unless mshinde uefa champions league ndio mtaingia kwenye orodha Ya UEfa elites