wanaruhusiwa na wana mamlaka ya kubadilisha Coaches na bench la ufundi lote..
Benitez alikuwa na Valero..
hawa vilaza wengine kina Hodgson, Daglish and Rodgers walikuwa na Achterberg..
Klopp kaja kabadilisha kila kitu mpaka medical team, but akaamua kustick na Achterberg.
nahisi jamaa atakuwa ni good motivator kwenye dressing room..ndo maana managers wote wanamkubali..
Malafyale doesn't seem to think so!
Wafuate tu ukawaambie jukwaani kwaoNaona hamkamatiki mwaka huu
Wafuate tu ukawaambie jukwaani kwao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nitakuwepo asubuhi baada ya kuona matokeo live scorePole sana na kipigo cha Everton
Karibu sana hapa The Kop
Nitakuwepo asubuhi baada ya kuona matokeo live score
Kuwa huru na ww kuja kwetu kule, usijifanye hutaki kuzungukia majukwaa mengine kumbe unapenda[emoji23] [emoji23]As always, karibu sana The Kop
Kuwa huru na ww kuja kwetu kule, usijifanye hutaki kuzungukia majukwaa mengine kumbe unapenda[emoji23] [emoji23]
Karius kwenye mbao leo ngoja tuone kama minyolee nae kajirekebisha au vipi
Mignolet kafanya brilliant saveKarius kwenye mbao leo ngoja tuone kama minyolee nae kajirekebisha au vipi
Huyu kijana ni mzuri mbona sema na yeye huwa anapitiwa muda mwingine...Mignolet kafanya brilliant save