Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Leo kacheza vyema sana
Nadhani discipline ya Klopp kama hamna mwenye immune ya namba imemuingia
So lzm apiganie namba
Sakho hata LVFC TV huwa simuoni na wenzake akifanya nao mazoezi
Kuna yyt anajua habari za Sakho?
Anafanya mazoezi na under 23 au?
Afu Balo kamwambia eti amfate Nice huko....ufaransa nako kuna ligi?Sacko Baada Ya Kukataa Kutolewa Kwa Mkopo Amekosa Trust Kwa Klopp Na Amepelekwa Kwenye Kikosi Cha Under 23 ambako Yuko Pamoja na Danny Ings kule.. Na Muda wowote Atauzwa Huyu Jamaa.
Wewe tulishakushikisha adabu.... Kwahiyo ukiingia humu uwe na heshima.... Juzi mlishinda 5 ukashangilia hadi MMU😀😀😀hapo kileleni ni patamu balaa.... Sasa Hivi tunawaangalia kwa side mirror 🙂Hongereni...! I guess that position will be decided tutakapokutana mwakani!!!
Enjoy while it lasts...soon, mta-dab tu.
View attachment 430263
Afu Balo kamwambia eti amfate Nice huko....ufaransa nako kuna ligi?
Kama na yeye sturridge atakua hajaumia bado hahaha...Anaweza ku-earn pot sababu january tutamkosa Mane for 3 or 4 games nadhani hata akirudi atakuwa hayupo kwenye form so anaweza akawa anatokea bench, nahisi ndiyo kipindi ambacho ST ata-shine
Hahahahahahaha...Yan tukiibeba hii ndoo..maandamano yetu yataweka historia