Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Hahahaha Umethibitisha kila stori ina sura zaidi ya mbili. Hapa umechagua sura inayokupendezesha wewe tu na kuja kusema hii ndiyo inayotakiwa kuangaliwa na kuaminika. Umekwenda kuchagua mechi walizoshinda Liverpool only but one halafu unakuja kusema ndiyo hali ilivyo kama vile Arsenal na Liverpool hawachezi mara kwa mara katika ligi.Kwa hiyo between 2000-2016 Liverpool na Arsenal hawajawahi kukutana hahahaha. Good try.

Wazee wa Emirates hao sifa yao ni kumaliza top 4 in 20 straight years lakini UEFA champions league so far ni ZERO almaarufu patupu
Mimi Huwa Hawa Arsenal Ninawaangalia tu.. Manake Wao Misimu Yote Huanza Na Kasi lakini Mwisho Wao December... Ikifika Dec basi wanaanza Kugombania Nafasi ya 4...
Sasahivi Anateremka Na Vibonde lakini Subiri Aanze Kukutana Na Man U, Spurs, Everton na Man City uone Kizaazaa...
Na Labda Nikuweke Sawa Zaidi Ni Kuwa Mimi Wewe Kukupiga Nnne Nne Sijaanza Mara Hii!! Ni Kitambo Tu Ninajipigia Kwako... Angalau Wewe Ndiyo Useme Unabahatika Kuniokota..
Usikurupuke tu Mkuu Utaumbuka Wewe hujui Hostoria Ya Timu Yako Tunavyoinyanyasa..... Mimi Mshindani Wangu Ni Man U,, Si Wewe Arsenal na Chelsea..
Haya Angalia Hapa Nilivyokuumbua Nne Nne βββ Na Za kule Champion League Ambako Nilikutandika 4 mwaka 2008 hapo Sijaziingiza lakini Zihesabu Nazo pia.. Nahizo 5 hapo vipi!!!
View attachment 426941 View attachment 426942 View attachment 426943 View attachment 426944 View attachment 426945
View attachment 426946 View attachment 426947 View attachment 426948 View attachment 426949
Nakupiga kwangu easy sana!Mechi ya fungua dimba mlituotea hatukuwa kamili. A return game mtajuta kwa kumwamsha Simba aliyelala hahaha.
Lol hiyo top 4 yenyewe inawatowa jasho afu bado mnaikashfu. Sizitaki mbichi hizi staili sio . Anyway tusubiri tuone kama mtakunywa kahawa(lifting or FA cup) au chai (lifting ).Mara ya mwisho yenu kunywa kahawa ilikuwa enzi za Roy au sio?Mchunieni huyo mwakilishi wa wazee wa kumsliza top 4 for 20 years with ZERO UCL
Mtamaliza kuni kwa kuchemsha mawe
Arsenal ni timu ndogo sana kwa LFC
The numbers don't lie
Lol. Ku
Lol hiyo top 4 yenyewe inawatowa jasho afu bado mnaikashfu. Sizitaki mbichi hizi staili sio . Anyway tusubiri tuone kama mtakunywa kahawa(lifting or FA cup) au chai (lifting ).Mara ya mwisho yenu kunywa kahawa ilikuwa enzi za Roy au sio?
Umebeba UCL mara ngapi? Kusudiio la kumaliza top 4 kwa kila timu ni kwenda UCL
Sasa umemaliza top 4 Kwa miaka 20 mfululizo Na huna hata ndoo moja maana yake Ni nini?
FA ni kombe la mbuzi tu
UCL crown is the most prestigious of them all at club level
Wenzio tinafukuzia UCL namba 6 wewe bado uko "0"
Then unataka kujilinganisha na sisi? Khaaa
Arsenal kombe lenu ni FA tu
Yaani Mtu Amekuwa Moga Kiasi Hichi..!!!!
Nilifikiri Ni Pekeyangu Nilieoona Kuwa Juzi Liverpool ilipocheza Palace ilicheza Mpira Wa Ajabu ambao Kwa Akili Ya Kawaida Huezi Kuamini Kama Binadamu Wanaweza Kuucheza! Kumbe Mpaka Wapinzani Wameona πππππ .......!
Musiogope Yule Ndiyo Klopp Mfalme Wa Kutengeneza Timu ikawa na Pace.....
Unajua nini maana ya Pace??
Maana ya "PACE" ni β "Consistent and Continuous Speed in Running"......
Sasa Wanavyocheza Liverpool si Ajabu Bali JK kawatengeneza Waweze Kuwa Na Pace na Kwa Mara Ya Kwanza imefana Zaidi Katika Mechi Yetu Ya Palace...
Na Ndiyomaana Kuna Wachezaji Ndani Ya Liverpool Wana Vipaji Lakini Watakaa Benchi Kwa Kutokuwa Na hii Pace.....
Kwasababu ili uendane na Mfumo wa Klopp ni lazima uwe na Pace....
Na Mtu Wa Kwanza Kuadapt Mfumo wa Klopp ni Sadio Mane Ambaye Alionesha pace siku ya Arsenal... Baadae Akafuata Cout ndiye Mtu wa Pili Kuadapt Pace ya JK...
Na Kuna Mtu Mmoja Anaitwa Moreno (Fullback left) ana pace ya Ajabu lakini Kinachomharibia na Kukosa Trust ya JK ni kwamba Hajui Kulinda... Ni Tofauti na Milner! Milner anajua Kushambulia na Anajua Kukaba..
To be honest Moreno Kwa Kushambulia na Kueka Zile Kross na Pace ni Bora Kuliko Milner.. Ila Hatumuamini Moreno na Mimi Binafsi Siko Tayari Apangwe Kwa Sababu Hajui Kulinda.. Akishapanda na Mpira Ndiyo Kapanda.. Kurudi Anajisahau..
View attachment 427696
Ha ha haa,kama robotsYaani Mtu Amekuwa Moga Kiasi Hichi..!!!!