Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hendo ana bahati mbaya mkuu.Ameimprove sana uwanjani season hii and still the blames are put on him.To me hendo hastahili hizi lawama eti yupoyupo tu uwanjani hajui afanyeje?Our captain struggles so much to make sure a team win.Anaweza asiwe na kipaji kikubwa cha soka lakini juhudi zake kuziba hili gap ni kubwa.Kuna wachezaji wana kipaji kikubwa cha mpira kama Markovic but still hawafanyi juhudi zozote kipaji chao kionekane kina manufaa kwa timu zao.Work hard can outperform talent when talent does not work hard.
He has been amazing so far
 
So far so good
Klopp angetusikia hii combo ingekuwa ya Sakho na Matip
Walahi tungekuwa na beki imara Ulaya
Matip anacheza juu sana,Sakho anacheza sana chini
Sakho January anauzwa!!

Mkuu are You Serious lakini??????
Unajua Sakho alitufanya nini Katika Gemu hile ya B. Dotmud tuliyowafungs 4 - 3 ???

Kwa Mifumo Yetu iliyopita ni Kweli Sakho aliendana Nayo...
Lakini Mfumo huu wa Klopp nadhani unauona Kuwa ni Wa Kasi Balaa!!! Sasa Sakho Ni Mzito Sana hawezi Kuendana na Pace Yetu...

Sakho Kwa Mtu Kama Benteke na Zaha Nadhani pangeanguka Kilio....
Mko Sakho bora aende tu..
 
Kuhusu nani aanza kati ya Can na Wijnaldum mimi kwa mawazo yangu naona Wij aanze na Can atokee bench tena sub yake awe Lallana (inategemea na mchezaji siku hio yuko vp)
Can Dm lakini anapenda sana kupanda juu kufanya majukumu sio yake kama ikitokea tunekutana na timu inapiga accounter attack Can atatuuza mchana kweupeee....
Wijnaldum huyu yeye ni mzuri wa kugusa pass za upendo pass ambazo anataka kila mtu auguse mpira while Can anapenda sana kukaa nao na kusubiri adui aje wapambane sidhani kama kuna mtu atanibishia hili
 

uko sahihi kabisa Mkuu,our Captain struggles so much huwezi amini!yani nikisikiaga shabiki wa liverpool anamponda huwa nasikitika sana!!Huyu jamaa ndio the hardest working player msimu huu katika EPL nzima,hadi sasa akiwa amecover takribani 106.49km.
 
Selection ya Lallana-Can-Henderson ndo long term itatumika or itatakiwa kutumika but only kama tunacheza na defensive minded opponent, ila kama tunacheza na attacking opponent wijnaldum ataanza in place of Lallana

Nadhani jana ndo mara ya kwanza tumeoneka kuzidi possession especially 2nd half ilikua inafika mpaka karibu 60 - 40 against us, so wijnaldum anasaidia ku break down play, hold and pia attack when needed tofauti na Lallana ni more attack minded and jana wijnaldum alivyoingia mchezo ulibadilika.

Uzuri sahivi hakuna mwenye namba ya uhakika first 11, ukicheza vibaya kuna possibility ya kubadilishwa and uzuri all players wana one understanding of the style of play required by klopp so there is more depth and tuwe tayari kwa rotation sana this season
 
I agree karius needs time but bado hajaonyesha ubora wa kupitiliza sana kwa mignolet...

First goal ndio lovren mistake ilianzia kwake but karius should have stayed in goal kulikua na distance kiasi na lovren na matip walikua washaanza kum track McArthur and not only alitoka but hakuonyesha kutumia mwili wake kufanya striker ajichanganye but akageuka kama anaogopa collision that was indecision na ameonyesha kwenye game kadha

Secondly distribution yake haieleweki at best anapenda kuanzisha short passes ambazo zinam force defender arudishe kwake then anajikuta amebanwa na hana option then anapiga mpira with no accuracy maybe cause ya ku panic unaenda out of play which happened alot jana

Ila ni vitu vya kufundishika I hope goalkeeping coach anaona na watavifanyia kazi, ana kazi kubwa bado kuendana na standard tunayo expect
 

Mkuu Nakupongeza Kukubali Kuwa Karius Bado Anafundishika! Ni tofauti Na Mignolet Ukimtazama Age Yake Ni Kwamba Hawezi Ongezeka Kupaji tena Zaidi ya Alichonacho...

Hata Degea Alipokuja Alikuwa Na error nyingi Sana Mpaka ikafikia SAF kugombana Na Mwandishi Ambaye Ni Mtoto wa Kike wa King Kenny Dalglish baada ya Kuhojiwa Kuhusu Ubora wa Degea.. Lakini Sasahivi Degea Huwezi Kumjenge Picha....

Kwahiyo Karius Tatizo sio Kipaji Chake!!! Bali Tatizo ni Mambo ya Kiufundi Kama Vile Kujiamini, Lack of Experience na Namna Ya Kusimama Kwenye Position Yake... Kwahiyo Kadri Anapopata Mechi Nyingi na Changamoto Basi Tatizo la Kiufundi Automatically Litajisolve wenyewe....

Mkuu Wachezaji Vijana Kama Wale Wanataka Muda Kuweza Kujiamini na KuAdapt Ligi...
 

Mkuu Can Ameshahamishwa Defencive/Holding Midfielder... Sasahivi Anapiga Mido ya Juu au Jana Hukuangalia Mpira??

Hendo Sasahivi ni Mfalme pale Mido ya Chini!! Hawezi Pandishwa Juu tena...
Badala Yake Juu anasimama Can...

Kwahiyo Jana Kupanda Sana Na Mipira si Kwamba Kajisahau Kulinda... Hapana!! Hendo Ndiye Mido mlindaji (no 6) Kwa Sasa...

Can anashambulia, Anamiliki, Anamharibia adui, Anachezesha timu, Ana-Assist na Anapace ya uhakika inayoendana na Mfumo wa Klopp..

Wijna Anamiliki, Anamharibia adui, Anachezesha timu, Ana-Assist lakini Hana Pace kama ya Can anapokuwa na Mpira Mguuni... That is why Klopp Anampendelea Can kuliko Wijna..

Lallana Anamiliki, Anashambulia, Anachezesha Timu, Ana-Assist lakini Pace Yake ni Ya Kawaida! ila Timu inapokuwa Na Pace Kubwa Kama Jana Lallana Huchoka kama alivyochoka Jana! Kwani Jana Tulicheza Mpira Wa Ajabu haujawahi Kutokea Kiasi ya Kwamba Mpaka Baadhi ya Wachambuzi Wanasema Hii Ni Mechi Bora ya EPL msimu huu...

BTW: Kwasasahivi Timu Yetu Ukikaa injury Gemu 2 tu, basi ukirudi uhakika wa Namba kuipata tena ni Mgumu..
 
So far so good
Klopp angetusikia hii combo ingekuwa ya Sakho na Matip
Walahi tungekuwa na beki imara Ulaya
Matip anacheza juu sana,Sakho anacheza sana chini
Sakho January anauzwa!!
Nikweli mkuu Sakho angesaidia sana
 
Mechi ya fungua dimba mlituotea hatukuwa kamili. A return game mtajuta kwa kumwamsha Simba aliyelala hahaha.

Tazama Na Huyu Mgonjwa Mwengine!!! Mtu Niliyekupiga Gemu Kumi Mfululizo Za EPL Bila Ya Kunusa Ushindi Kukupiga Goli Nne Unasema Nimekuotea????
Bila Shaka Wewe Ndiyo Kina Wale Mulioanza Kuangalia Mpira 2010...
Kwataarifa Yako Kwa Pale England Timu Tunayoongoza Kuinyanyasa Kuliko Timu Zote ni Arsenal...
Sisi Arsenal Ni Mke Wetu tu...

Stats hii ↓↓ Ni Kuanzia Mwaka 1992 - 2016 tu Ambazo Tumekutana Mara 50.


 

Hahahaha Umethibitisha kila stori ina sura zaidi ya mbili. Hapa umechagua sura inayokupendezesha wewe tu na kuja kusema hii ndiyo inayotakiwa kuangaliwa na kuaminika. Umekwenda kuchagua mechi walizoshinda Liverpool only but one halafu unakuja kusema ndiyo hali ilivyo kama vile Arsenal na Liverpool hawachezi mara kwa mara katika ligi.Kwa hiyo between 2000-2016 Liverpool na Arsenal hawajawahi kukutana hahahaha. Good try.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…