Ndiyo mefika home
Toka Bar kuona soka maana kuangalizia home bia hainogi
Na hawa Panya road simu tunaiacha home siku hizi hasa kama usiku
Liverpool tunajipa taabu wenyewe,tunakosa bao nyingi sana
Hii game ilitakiwa iishe kipindi cha kwanza tu kw abao 4
BAK unaloooooo!!!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hongereni sana [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] atleast wale waliojificha last week Leo wataibuka[emoji23] [emoji41]
Yaani Klopp ni bonge la burudani sana awapo uwanjani ,wakishinda anaruka juu kama kandege,sema ni nzuri sana yuko karibu na wachezaj wake anawapa motisha ya kucheza na kuipenda timu yao.
Majogoo huwezi yafunga aiseeHapana aisee siogopi yeyote yule kama tunacheza kwa ari, nguvu na kasi na kuwa makini basi tuna uwezo wa kuifunga timu yeyote ile duniani achilia mbali EPL.
Nachukua EPL yangu bado mecho kadhaa mkononiBAK unaloooooo!!!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
JM sasahivi ana adabu, dunia imemvunza kidogo,amebadilika sana,hope something positive from himWith time mtajua pale OT mmechukua kocha garasa na mtamfukuza tu kama walivyofanya darajani na Santiago Beenabeu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kaka ligi bado mbichi sana aiseeee!!!!Nachukua EPL yangu bado mecho kadhaa mkononi
Majogoo huwezi yafunga aisee
Mane Firminho na Coutihno?
No way
JM sasahivi ana adabu, dunia imemvunza kidogo,amebadilika sana,hope something positive from him
Ana kasi sanaMane kifaa kweli, sijui kwanini Wenger hakumchangamkia huyu mapema. Miaka mingi yeye hutaka kusajili toka nje ya EPL tu. EPL pia kuna vifaa vingi tu.
Dahhh nilikuwa nimesahau kabisa kuna mechi hii !!!AC Milan vs Juve
Kijana wetu Suso anakimbiza sana
Sijui why alimuuza huyu kijana yule mwehu BR
dah hata mie Juve hapo bado inaendelea? kesho usisahau na yenu manake mnaanza mazoezi kwenye park ya magari then muweke Bus lenu vizuri maije kupewa ticket!Dahhh nilikuwa nimesahau kabisa kuna mechi hii !!!