Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wakuu nashukuru tumeishinda ila naona kama struridge kama haendani na kasi yetu vile.....au mimi tu macho yangu
Sturridge ndo kawa mzigo aisee. Mipira alikuwa anapoteza na hakabi kabisa. Kaniudhi sana leo
 
Poor kabisa Lovren hata huyu Kipa simuamini najua wengi mmefurahia Mignolet kuwa bench ila mie bora yeye Simon!

Mimi bado sijaanza kum-rate Karius maana the same mistakes anazofanya Migs ndiyo anazifanya Karius ...
 
Wakuu nashukuru tumeishinda ila naona kama struridge kama haendani na kasi yetu vile.....au mimi tu macho yangu
Exactly my observation.Unakuta Mane anampa kisha anatangulia nafasi nzuri ya mbele.Sturridge badala yakupress fasta ye anaupooza mpaka beki zinakuwa zimejaa.Tatizo ana washabiki royal sana....hawamwambii ukweli wao wanataka apewe afunge aonyeshe ubora wake!

Aongeze bidii kwakweli ila kwa sasa naona hata kupewa game time anapendelewa tu.The manager is avoiding to be a discussion in brirish media
 

yani the guy is slower mpaka anaudhi, ni bora klopp ampe nafasi Origi kuliko jamaa. Yani jamaa hawezi kabisa ku-"cope" na wenzake...kuna moja coutinho anamuwekea kwenye 6 ye ndo kwanza anatanua pembeni. hawaoni sijui wenzake kina lalana, firmino, mane wanavyopenyezeana yani unaweza kusema haiwezekani kufunga lakini wanafunga. rejea goli la lalana na mane last week. The guy has to improve otherwise atachoma mahindi mpaka akome.
 

James Milner celebrates after scoring a late penalty.
 

Mike van der Hoorn of Swansea reacts after missing a last minute chance
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…