Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,405
- 17,854
Ki ukweli mimi huwa namwona sakho wa kawaida sana. Yeye na yule wa chelsea Zouma mimi naona wanabahati tu kuchezea vilab vya hadhi liver na chelsea.TETESI:Liverpool agree €18Million fees with Bestikas for Sakho!
Tena hao ndo nawachukia vibaya mno...na kila wakigongwa najiskia amani tele.......Ha ha haa!..hasa hawa manyumbu united
Alisababisha penati kipa kamsaidia...sekunde chache tu kakimbilia mbele katoka kwenye position ya kummark walicot katupia goli...Yule Moreno kaniudhi sana Jana. Siku zake zinahesabika. Anapenda kukimbia mbele tuuu hata hajali kamuacha nani nyuma
Hata bao la 3 ona alipokuwepo wkt mpira umepigwa upande wake!Yule akibaki awe winga tu sio kukaba!Muda wote hayupo ktk lindoAlisababisha penati kipa kamsaidia...sekunde chache tu kakimbilia mbele katoka kwenye position ya kummark walicot katupia goli...
Sjui Klopp haoni madhaifu yake?....
Hector signed a new contract with his club last week. Chances of signing him are almost goneLkn Hector anakuja
Milner akipona pia saafi itakuwa kule
Kuna petition Kops dunia nzima wanataka Moreno auzwe
Usiogope mkuu,ndiyo wanavyo fanya siku hizi ili kuongeza beiHector signed a new contract with his club last week. Chances of signing him are almost gone
Anaweza akawa mzima. Klopp bado ana imani na Moreno...ataanza tu mechi ijayoUsiogope mkuu,ndiyo wanavyo fanya siku hizi ili kuongeza bei
Kama tukienda na 25-30 M tunampata kiurahisi kabisa
Milner sijui atapona mechi ijayo?Maana Moreno hafai kabisa
Kuna Mtu wa Oldtrash Manua Manua United! kadai LFC kwenye ukumbi wa Arsenal inacheza kama Kuku tehteh inawezekana ila Pasi 30 mpaka goli jana sizani nikama kuku, Wao itakuwa wanacheza kama Konokono basi wangefunga wao pasi 30 goli Media na United fan ungeona majigambo yao. Ligi bado mapema mnooo.
Anaweza akawa mzima. Klopp bado ana imani na Moreno...ataanza tu mechi ijayo
Kuna Mtu wa Oldtrash Manua Manua United! kadai LFC kwenye ukumbi wa Arsenal inacheza kama Kuku tehteh inawezekana ila Pasi 30 mpaka goli jana sizani nikama kuku, Wao itakuwa wanacheza kama Konokono basi wangefunga wao pasi 30 goli Media na United fan ungeona majigambo yao. Ligi bado mapema mnooo.
tukija Lallana hata mie jana ukitizama Comment kuhusu Goli ni Lallana amefanya turn ya kipuuzi wakati anajua hatuna DM pale ndio utapojua umuhimu wakuwa na DM wamaana ila Moreno pia vp anamkimbilia mtu au kamuacha Open? jiulize? anatakiwa awe kwenye bega lake Walcolt au mbele ya Walcolt haisomi game wala wenzake wala adui amekaa wapi tatizo! Lallana akiacha turn turn nyingi utafurahia. Moreno Bench litamsaidia Lete Peredes wa Roma Pale Kati.