Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Asante Kop kwa Maelezo murua....unajua kipindi hilo tukio linatokea nlikuwa under 5 years of age....

nmefarijika kwa maelezo mazuri kiongozi...japo unaruhusiwa kuongeza zaidi...
 
Kwa ushindi mzuri wa jana nina imani kwamba hata majina makubwa, World class players watarudisha imani yao na Liverpool na wataanza kutamani kuja kucheza Liverpool FC.
 
Messi reaction after the game.

"I never concentrated l was listening to you will never walk alone Luis always talk about it. We were humiliated today but l see this Liverpool team raping Manchester teams and Chelsea. It's not a secret that l like Liverpool and l might consider my future next season," he told ESPN.

#YNWA
 
Game yetu na mainze 05 inaedelea tumefungwa moja hadi dk hii ya 35
 
Klavan ananipa raha sana. Anakaza kiuanaume kweli. Sema Moreno hapana kwa mm. Anahitaji mbadala. Hector! Jamani dah. Klopp afunge macho amnunue hiki kisiki na BPL tukateremkee!
 
Nilivyotazama tu game ya Barca, nilijua leo na Mainz watawekwa madogo wakina Arnold. Wisdom etc. Good! Ni muda wa kuonyesha kiwango chao.
 
Nini kilitokea mkuu mpaka kupelekea bifu hilo?
Bifu ni la zamani ukifuatilia ambapo mie mambo mengine naachia pembeni, ila Gazeti la Sun liliandika vibaya kuhusu waliokufa mashabiki wa LFC! TheS*n pia si LFC lishamuuzi Rihanna na wengi tu na lishawahi kushtakiwa mpaka gazeti lao la Jpili kufungiwa News of the World ambalo mmliki ni Myahudi Billionea Mardoch! pia Thesun lishawahi kusikiliza simu za Sir Alex za Rooney na Leo wameendika story ya Mke wa Lovren ku cheat na jamaa wake wa zamani demu wakati wana 16 huko Crotia! pia kuna jamaa aliwashtaki Thesun kwa kumtumia kama Fake mwarabu ili afuatilie Rio Fredinand Holiday wakawa wanampigia vipi umepata video au au pic ya Rio na wenzake hao ma black kama wanavuta Bangi? jamaa alibafili uchunguzi baada kuona Rio mtu freshi na kamualika kwa roho nzuri ila gazeti lilikuwa kibaguzi.
 
Sikujua leo tuna game? tushapogwa 4-0 na Mainz 05 now heheh ile timu ya kwanza halftime vs Barca ndio itaanza ligi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…