Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mmh Ed, hiyo ni nini?! Au mchina yangu labda inanidanganya.
 
Mkuu, ningekuwa mod ningekupiga ban hata ya masaa lol. Bora kumtaja jina huyo jamaa kuliko kuweka lipicha lake hapa!
 
Huyu hapa [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]

alikuwa katika mission ya kuwaondoa.legends wote kwenye club, akihisi watakuwa threat kwenye team na katika reign yake.

bahati mbaya zaidi, Sterling ndiye aliyekuja kumgeuka, hapo akahamishia pressure yote kwa IBE, ili kuprove kuwa he can create another Sterling, outcome yake ikawa ni kuharibu kabisa career ya Ibe.
 
Inaonekana FSG wanakaribia kuiuza Club (us)

Due Diligence being undertaken, na inaonekana ni suala la muda kidogo.

kuna Arabs na Chinese investors ambao wanahusika na hii Take-Over. (Naming rights za stand nadhan wamepewa wachina- (hii hausiki na Take-Over).


Club ina thamani ya £1.5Billion kwasasa, ni kama double ya thamani waliyoikuta nayo club wakat wanainunua kipindi kile So WATAIUZA club kwa FAIDA kubwa sana.

Deal inaweza kuchukua months or inaweza ikawa next summer (mwakani) BUT Good luck to FSG, walitutoa sehem mbaya sana (Dark days) na wametuweka sehemu nzuri (financially).
 
Habari njema kiasi chake
 
Kolo kuachiwa

*update* released list

Tom Brewitt
Daniel Cleary
Jose Enrique
Will Marsh
Ryan McLaughlin
Alex O’Hanlon
Kristof Polgar
Kolo Toure
Samed Yesil
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…