Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahaaaa mkuu ikitokea msimu huu hatubebi Epl ama FA (chaguo last mwisho kabisa) naacha kufatilia mpira kabisa hivyo yaweza ikawa muda wa mwisho kutangaza new sign zaidi new season

TBT
 

Attachments

  • 1464111052065.jpg
    45 KB · Views: 31
Gundogan,Gotze na Xhaka ndo tushawakosa hivyo.Kukosa uefa na hata europa kunatufanya tuendelee kuwa klabu isiyovutia wachezaji wazuri.Pia tunaendelea kuwa klabu iliyo na wasiwasi wa kukimbiwa na wachezaji wake wazuri muda wowote kama tu watatakiwa na timu zenye mafanikio ulaya.

Na bila big signings sioni uwezekano wa kutoboa msimu ujao.Sijui lakini.......
 
Just wait mkuu mambo mazuri hayataki haraka
 
Xhaka and Gundogan were never coming to liverpool... Goetze may still come kama kocha hapampenda, he wanted UCL and unfortunately he didnt get it

Klopp alishasema kama unakuja kwa ajili ya UCL basi usije...

Klopp history favors Gotze not coming kwasbabu Klopp hana mpango na Divas

I like this Klopp Dude
 
The Daily Gotze: He may say he wants to stay at Bayern, but seems Bayern don't exactly want him: "Mario knows Bayern’s thoughts," says their CEO.

“Maybe he just wants to go into the European Championships without any speculation.

Let's hope
 
Liverpool Football Club today announced a quartet of domestic pre-season fixtures in preparation for 2016-17
#LFCtour

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…